Esma amekubali huwa anaenda kwa waganga

Esma amekubali huwa anaenda kwa waganga

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Katika interview aliyofanyiwa na channel ya Sam Misago kwenye Youtube amekubali kuwa huwa anaenda kwa waganga wa kienyeji.

Anasema ''mimi ni mfanyabiashara, kwenda kwa mganga lazima. Kuna wakati unakuta hirizi mlangoni, lazima nawewe uende kwa mganga''

Kipindi cha nyuma Babu Tale alikubali pia kuwa huwa anaenda kwa waganga wa kienyeji alipokuwa akihojiwa Clouds FM.
 
Asilimia karibu 60 ya Watanzania watu wazima wameshakwenda kwa waganga wa kienyeji.

Ukitaka kujua hilo tafuta watu 10 wachungulie wangapi wana chale migongoni, viunoni, kwenye mapaji ya uso na kwingineko.

Utachoka.

Kwa hiyo tusimshangae huyu kwenda huko.
 
Waswahili utawajua tu haswa watu wa huko. Mtu ana mali lakin ana akili ya kimaskini.
 
Asilimia karibu 60 ya Watanzania watu wazima wameshakwenda kwa waganga wa kienyeji.

Ukitaka kujua hilo tafuta watu 10 wachungulie wangapi wana chale migongoni, viunoni, kwenye mapaji ya uso na kwingineko.

Utachoka.

Kwa hiyo tusimshangae huyu kwenda huko.
hiyo 60% uliyoitaja nichache mnooo mkuu"... haututendei haki watanzania
 
Asilimia karibu 60 ya Watanzania watu wazima wameshakwenda kwa waganga wa kienyeji.

Ukitaka kujua hilo tafuta watu 10 wachungulie wangapi wana chale migongoni, viunoni, kwenye mapaji ya uso na kwingineko.

Utachoka.

Kwa hiyo tusimshangae huyu kwenda huko.
Humu kila mtu mtakatifu wachawi wawili tu Likud na mshana jnr!!
 
Asilimia karibu 60 ya Watanzania watu wazima wameshakwenda kwa waganga wa kienyeji.

Ukitaka kujua hilo tafuta watu 10 wachungulie wangapi wana chale migongoni, viunoni, kwenye mapaji ya uso na kwingineko.

Utachoka.

Kwa hiyo tusimshangae huyu kwenda huko.
Mm sijawah
 
tatizo sio kwenda kwa waganga tatizo ni kusema unakwenda kwa waganga
kuna vitu hutakiwi kuvisema
kwamba watu wengi wanaenda kwa waganga ila ni siri za ndani au sio??[emoji1] [emoji1] .
 
Back
Top Bottom