Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
we umeelewa sanakwamba watu wengi wanaenda kwa waganga ila ni siri za ndani au sio??[emoji1] [emoji1] .
Unasema bora ukose msosi ila siyo bundle la kuingilia instaAcha tu ananinyooshea watu kama wote... Nalisubiri file LA wastara kama hajatafuta mume kesho aolewe Sijuii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Esma ndo nani na anafanya shughuli gani?
Sanaa tuu!!hapaUnasema bora ukose msosi ila siyo bundle la kuingilia insta
Hahahaha nipo nae hapa namfundisha kiswahiliHata mi kiswahili nakipata kwa tabu sana ni Mimi teh
Yani watu wanazuga tu hapa but kwenda kwa mganga ni kawaida tu na siyo kwamba kila anaeenda anaenda kuroga. Wengine kwenda kupata tiba tuHapo sasa!!!tatizo jf kichaka wengine humu ukute vilinge vimo makwao!!
Hahahahaha.. kwahiyo anayemwekea mahirizi ndo kampeleka sio teh... hatari sana
Kwani ile ndoa yake ya saba kesha achika?Acha tu ananinyooshea watu kama wote... Nalisubiri file LA wastara kama hajatafuta mume kesho aolewe Sijuii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi siendikwa iyo na sisi twende??