Esma amekubali huwa anaenda kwa waganga

Esma amekubali huwa anaenda kwa waganga

Kwani kwenda kwa mganga kuna tatizo? Watanganyika ebu acheni unafiki wa kujifanya mu watakatifu
 
Asilimia 85% waliozaliwa kuanzia 90 kurudi nyuma washafika kwa mganga .

Sitokuja kutia mguu kwa mganga acha niwe na dhambi zingine lakinj sio hii ya ushirikina
 
Acha tu ananinyooshea watu kama wote... Nalisubiri file LA wastara kama hajatafuta mume kesho aolewe Sijuii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani ile ndoa yake ya saba kesha achika?
Mange amalize u busy aliokuwa nao,alete file hilo
 
Wote wachawi. Kuanzia domo, Mama ake na cycle yote ile inayowazunguka
 
Back
Top Bottom