Esma Platnam na Petit Man

Esma Platnam na Petit Man

hesalieyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
378
Reaction score
380
Guys nilikua sijui kama Petit man kambwaga mdogo wake Vanessa mdee baada ya kuachana na kajala na kwa sasa anatoka na Dada wa chibu ESMA platnam.

EsmaLRG.jpg
 
hee hee ukishakuwa ndugu wa seleburiti na wewe unakuwa seleburiti automatikale..btw wadau hivi huyu esma na diamond ni nani mkubwa kwa umri?
 
haa haa haa kumbe!!
nimeongea na wadau ana miaka 19 na mama yao yeye na tajiri dangote platinum ana miaka 42
bila kusahau miaka 24 ya dangote na 22 ya wema ni watanzania wenye mafaniko katika miaka midogo mno, haijawahi kutokea kabisa
 
Invisible piga ban wambea woote umu wamfuate shoga mwenzao.
 
nimeongea na wadau ana miaka 19 na mama yao yeye na tajiri dangote platinum ana miaka 42
bila kusahau miaka 24 ya dangote na 22 ya wema ni watanzania wenye mafaniko katika miaka midogo mno, haijawahi kutokea kabisa

Ha ha ha ha ha ha ha haha maza dimondo 55. .
 
Back
Top Bottom