Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jukwaa la udaku lipo lakini nashangaa hawataki kulitumia.hili jukwaa kila mtu akileta habari za mshkaji wake wa mtaani itakuwa fujo...hili ni jukwaa la macelebrity si la washkaji unaowajua mtaaani kwako
hili jukwaa kila mtu akileta habari za mshkaji wake wa mtaani itakuwa fujo...hili ni jukwaa la macelebrity si la washkaji unaowajua mtaaani kwako
Jibu C.Kitorondo.Nami nashangaaa huyo Esma ni nani mwanamuziki muigizaji au jini kitorondo tu
hee hee ukishakuwa ndugu wa seleburiti na wewe unakuwa seleburiti automatikale..btw wadau hivi huyu esma na diamond ni nani mkubwa kwa umri?
Mkubwa esma we humuoni usoni kama ajuza.
nimeongea na wadau ana miaka 19 na mama yao yeye na tajiri dangote platinum ana miaka 42haa haa haa kumbe!!
Invisible piga ban wambea woote umu wamfuate shoga mwenzao.
Tukipigwa ban hata we hubaki maana ni mbea mwenzetu
Sijataja mtu jina...au unanitaka ??
Naona umbea umekukolea ushajtanguliza unatakwa hata kabla hutakiwaaa
Mie namtaka yule tom boy ...we ujafikia class yangu.
nimeongea na wadau ana miaka 19 na mama yao yeye na tajiri dangote platinum ana miaka 42
bila kusahau miaka 24 ya dangote na 22 ya wema ni watanzania wenye mafaniko katika miaka midogo mno, haijawahi kutokea kabisa
Tom boy ndio nani