Esma Platnam na Petit Man

Hawa nao wanatafuta kiki tu mxiuuuuuuuuuuw useless celebrities
 
hee hee ukishakuwa ndugu wa seleburiti na wewe unakuwa seleburiti automatikale..btw wadau hivi huyu esma na diamond ni nani mkubwa kwa umri?

kwikwiiiiii unakua celebu kwa njia ya mnururisho.
 
ha ha ha ha ha haaaaa dah! Jf raha et jini Kitorondo
 
wameshea baba na chibu

Nafikiri wameshea mama na chibu, afu yeye baba yake nahisi ni mwarabu koko. Si unaona hata jina lake ni Asma Khan sijui. Queen darleen ndo wameshea baba na Chibu
 
nimeongea na wadau ana miaka 19 na mama yao yeye na tajiri dangote platinum ana miaka 42
bila kusahau miaka 24 ya dangote na 22 ya wema ni watanzania wenye mafaniko katika miaka midogo mno, haijawahi kutokea kabisa

Wema ana mafanikio gani?
 
nimeongea na wadau ana miaka 19 na mama yao yeye na tajiri dangote platinum ana miaka 42
bila kusahau miaka 24 ya dangote na 22 ya wema ni watanzania wenye mafaniko katika miaka midogo mno, haijawahi kutokea kabisa
hahahahaaa... maatope bwanaaa..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…