Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hee hee ukishakuwa ndugu wa seleburiti na wewe unakuwa seleburiti automatikale..btw wadau hivi huyu esma na diamond ni nani mkubwa kwa umri?
Mbona naye mtu mzima kashakomaa au ndo mkorogo umemkomaza
Heeeeee zima
Kwani huyu ni mtoto wa mama chibu au! !!!
Mbona naye mtu mzima kashakomaa au ndo mkorogo umemkomaza
Sio mtu mzima uyo...sema msoto na ule ukoko ukoko wa tandale ndio bado haujamtoka.
Ha ha hilo nalo neno atakuwa aliishi life la msoto kumbe
we siunaona vimashavu vya kupuliza kuni ivyo .
wameshea baba na chibu
nimeongea na wadau ana miaka 19 na mama yao yeye na tajiri dangote platinum ana miaka 42
bila kusahau miaka 24 ya dangote na 22 ya wema ni watanzania wenye mafaniko katika miaka midogo mno, haijawahi kutokea kabisa
anamiliki mbwa wa bei ghali na ana nyota kali na ana miaka 22Wema ana mafanikio gani?
hahahahaaa... maatope bwanaaa..nimeongea na wadau ana miaka 19 na mama yao yeye na tajiri dangote platinum ana miaka 42
bila kusahau miaka 24 ya dangote na 22 ya wema ni watanzania wenye mafaniko katika miaka midogo mno, haijawahi kutokea kabisa