Esmail Qaani aliyemchomesha Ayatolla Khamenei yuko hai Israel

Traitor sio? Kwa kule Iran adhabu ni kifo tu
 
Sio ya kweli hii.
Historia ya "Kutoweka": Hii si mara ya kwanza mahali alipo Qaani kuhojiwa. Mwishoni mwa mwaka 2024 na katikati ya mwaka 2025, aliripotiwa vilevile kuwa amekufa au amekamatwa, lakini baadaye alijitokeza tena baada ya wiki kadhaa katika matukio na kwenye televisheni ya taifa mjini Tehran.
 
Namaanisha sio kweli kwamba yupo Israel. Huyo mtu mkubwa hawezi kutoroka Iran kirahisi. Inasemekana IRGC wamemkamata na yupo chini ya ulinzi
 
Kwanza inawezekana huyu siye traitor ila waisrael wamemtengenezea story (kafanywa red herring) huku traitors (double agents) wenyewe wapo wanapeta. Mashirika ya ya kijasusi huwa yana vitengo vya disinformation (sio sawa na misinformation) na hutoa hadithi kama hizi ku-mislead maadui.
 
Namaanisha sio kweli kwamba yupo Israel. Huyo mtu mkubwa hawezi kutoroka Iran kirahisi. Inasemekana IRGC wamemkamata na yupo chini ya ulinzi
Hizi taarifa kinzani ndiyo zinathibitisha kiwa huyu GWIJI bado yuko hai na halamatiki.

Kuna chanzo kinasema alinyongwa na Serikali, kingine kinasema aliuliwa na askari wa kikosi chake. Ila ukweli huyu MOSSAD agent kamaliza assignment yake na karudi Tel Aviv kwa majukumu mengine
 
Anyway, ukweli utajulikana ila vyanzo vingine vinasema amekamatwa.
 
Kweli wakufaulu sana kumpandikiza
 
Traitor sio? Kwa kule Iran adhabu ni kifo tu
Kwenye Uislamu, ukibadili dini kutoka Uislamu kwenda dini nyingine, bc ww n msaliti na unapaswa kuuawa πŸ˜‚

Sembuse kumchoma kiongozi wa dini πŸ˜‚

Hii dini kwa kuua πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…