Stuxnet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 18,875 Reaction score 29,427 Mar 9, 2026 Thread starter #41 ChoiceVariable said: Kweli wakufaulu sana kumpandikiza Click to expand... Wako mbele ya muda
zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 24,661 Reaction score 40,890 Apr 22, 2026 #42 Imeloa said: Tupe "Real News" lakini isiwe ya kutoka masjid ubwabwa Mwananyamala kwa Kopa. Click to expand... Vipi una maoni gani leo? Punguza ujuaji
Imeloa said: Tupe "Real News" lakini isiwe ya kutoka masjid ubwabwa Mwananyamala kwa Kopa. Click to expand... Vipi una maoni gani leo? Punguza ujuaji
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 37,333 Reaction score 50,241 Apr 22, 2026 #43 zitto junior said: Vipi una maoni gani leo? Punguza ujuaji Click to expand... Trump kaongeza muda wa kusitisha vita baada ya muda wa awali kuelekea Ukomo, japo bado Iran amegomea matakwa ya Marekani. Nadhani na yeye (Trump) anatafuta namna ya kumaliza huu mzozo anaodai ameshinda.
zitto junior said: Vipi una maoni gani leo? Punguza ujuaji Click to expand... Trump kaongeza muda wa kusitisha vita baada ya muda wa awali kuelekea Ukomo, japo bado Iran amegomea matakwa ya Marekani. Nadhani na yeye (Trump) anatafuta namna ya kumaliza huu mzozo anaodai ameshinda.
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,803 Reaction score 24,943 Apr 22, 2026 #44 Stuxnet said: Sana. Kuna mdada mwingine akiitwa Sarah Perez, ndiye aliyechomesha zile nuclear enrichment sites. Walipomgundua akateleza naye yuko Israel Click to expand... Halafu likatumwa b52 kwenda kuharibu na bado likashindwa
Stuxnet said: Sana. Kuna mdada mwingine akiitwa Sarah Perez, ndiye aliyechomesha zile nuclear enrichment sites. Walipomgundua akateleza naye yuko Israel Click to expand... Halafu likatumwa b52 kwenda kuharibu na bado likashindwa