Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Udhaifu wa shirikosho imesababisha yote haya1. waludishe tu, watu wamebebwa kwa mbeleko ya chuma hata ka aibu hawaoni!!
Mamaye,Habari wanamichezo
Taarifa zilizopo club ya esperance de Tunis ya nchini Tunisia Imekataa kurudisha kikombe cha CAF champion league iliyokipata baada ya ushindi wa goli 1 dhidi ya wydad Casablanca na mechi kuvunjika dk ya 60
Esperance imesema itapeleka CAF mahakama ya Michezo cas kupata haki yao
Kwani ili uwe rais wa CAF sio inabidi uwe rais wa chama/shirikisho la nchi unayotoka?.au ukiwa tu mjumbe wa Caf unaweza kugombeaSidhan Kama rais wa CAF anawaza kushinda uchaguz ujao maana amejiharbia Sana kwa hili n muda sasa wa LEODGAR TENGA naye kujarbu bahat yake uchaguzi ujao
Hapana mkuuKwani ili uwe rais wa CAF sio inabidi uwe rais wa chama/shirikisho la nchi unayotoka?.au ukiwa tu mjumbe wa Caf unaweza kugombea
Hii n kama kumtuma shafii daudaSidhan Kama rais wa CAF anawaza kushinda uchaguz ujao maana amejiharbia Sana kwa hili n muda sasa wa LEODGAR TENGA naye kujarbu bahat yake uchaguzi ujao
Habari wanamichezo