Esperance De Tunis yakataa kurudisha kikombe na medali CAF

Esperance De Tunis yakataa kurudisha kikombe na medali CAF

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Habari wanamichezo

Taarifa zilizopo club ya esperance de Tunis ya nchini Tunisia Imekataa kurudisha kikombe cha CAF champion league iliyokipata baada ya ushindi wa goli 1 dhidi ya wydad Casablanca na mechi kuvunjika dk ya 60
Esperance imesema itapeleka CAF mahakama ya Michezo cas kupata haki yao
 
1. waludishe tu, watu wamebebwa kwa mbeleko ya chuma hata ka aibu hawaoni!!
 
Habari wanamichezo

Taarifa zilizopo club ya esperance de Tunis ya nchini Tunisia Imekataa kurudisha kikombe cha CAF champion league iliyokipata baada ya ushindi wa goli 1 dhidi ya wydad Casablanca na mechi kuvunjika dk ya 60
Esperance imesema itapeleka CAF mahakama ya Michezo cas kupata haki yao
Mamaye,

Ukimwaga Ugali namwaga mboga na Maji ya Kunawa,
Kama Mbwai wacha iwe Mbwai tu.
 
esperence japo wamebebwa.. ila nimewapenda kwa kuwakazia caf

uzembe mkubwa wameufanya caf sio esperence.. kwa nini waweke var mbovu?

na kwa nini refa akatae goli halali.. maana waliokataa goli sio esperence.. ni refa wa caf

rais wa caf na uongozi wa caf unaleta janja janja kulikimbia jumba bovu wao mabosi wa jiuzulu kwanza
 
Sidhan Kama rais wa CAF anawaza kushinda uchaguz ujao maana amejiharbia Sana kwa hili n muda sasa wa LEODGAR TENGA naye kujarbu bahat yake uchaguzi ujao
Kwani ili uwe rais wa CAF sio inabidi uwe rais wa chama/shirikisho la nchi unayotoka?.au ukiwa tu mjumbe wa Caf unaweza kugombea
 
Warudishe tu! Haina namna! Tena waje warudie pale kwa mkapa!
Japo vilabu vyote viwili wote ni walewale tu
 
Waafrika kwa ujumla wana UJINGA MKUBWA SANA
 
Waangalie wasije wakafungiwa kushiriki
 
Hao hawajiamini kama unajiamini hata ushinde mara kumi bado mpinzani kama hajaridhika unakuwa tayari kwa mapambano...
 
Wawafungie tu kucheza mpira kwa miezi 24 kama hawatarudisha vyote by July 15th, 2019.

Habari wanamichezo

Taarifa zilizopo club ya esperance de Tunis ya nchini Tunisia Imekataa kurudisha kikombe cha CAF champion league iliyokipata baada ya ushindi wa goli 1 dhidi ya wydad Casablanca na mechi kuvunjika dk ya 60
Esperance imesema itapeleka CAF mahakama ya Michezo cas kupata haki yao
 
Kiujumla wote wamefika walipofika kwa figisu na kubebwa sasa bahati mbaya wote wamekutana wakiwa na tabia za kufanana hivyo chizi zaidi ndo kafanikiwa lakini huyu mwingine kaamua kumharibia chizi mwenzake.
Waarabu wote wafitini sana ktk mpira.
 
Back
Top Bottom