Jitathmini upya kabla hujakurupuka kuandika usichokijua. Waarabu hatuwafikii hata robo kwenye soka n.k, kama ni wafitini basi mamelody angeshinda kwao dhidi ya Esperance, na kama wafitini Tp Mazembe angeshinda kwao dhidi ya wydad casablanca. Sema hivi akili zetu waafrika tunazijuwa wenyewe,,,kwa ufupi waarabu wametuzidi kila kitu, wanasajili wachezaji kwa mabilioni ya pesa wakati wewe na yanga yako mnasajili kwa milioni 10-50. Vichekesho [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]