Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Habari wanamichezo
Taarifa zilizopo club ya esperance de Tunis ya nchini Tunisia Imekataa kurudisha kikombe cha CAF champion league iliyokipata baada ya ushindi wa goli 1 dhidi ya wydad Casablanca na mechi kuvunjika dk ya 60
Esperance imesema itapeleka CAF mahakama ya Michezo cas kupata haki yao
Mchezo urudiwe hamna namna. Wydad wamedhulumiwa mechi zote mbili.