oyayakaranga
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 677
- 396
Anachomaanisha ni kuwa images zote lazima zipitie kwanza pentagoni and that's correct mwaka Fulani dereva Wa gari la maji Wa ubalozi Wa marekani alipitisha gari nyumbani kwake na ikaonekana watu wanachita maji hii iliwatia hofu sana huko pentagon na wajapiga sm ubalozi kuw iyo gari isiingie ubalozin kwa tafsiri yao ilikuwa inategwa bom so ni kweli images na video zinapita pentagon kwanza
kwa hiyo unataka kutudanganya pentagon ndio makao makuu za CIA??
na Langley ni wapi??
Anachomaanisha ni kuwa images zote lazima zipitie kwanza pentagoni and that's correct mwaka Fulani dereva Wa gari la maji Wa ubalozi Wa marekani alipitisha gari nyumbani kwake na ikaonekana watu wanachita maji hii iliwatia hofu sana huko pentagon na wajapiga sm ubalozi kuw iyo gari isiingie ubalozin kwa tafsiri yao ilikuwa inategwa bom so ni kweli images na video zinapita pentagon kwanza
unatetea kitu kwa mfano ambao ni irrelevant .... wanaolinda ubalozi wa marekani sehemu nyingi duniani ni MARINE SECURITY GUARD ambao ni branch ya UNITED STATES MARINE CORPS... ambayo ni part of UNITED STATES DEPARTMENT OF DEFENSE ambayo makao makuu yake ni PENTAGON... na wewe unataka kutudanganya wanaolinda ubalozi wa marekani ni CIA sio CIA
CIA wako pale kwa kazi moja tu ambayo ndio kazi yao kuu hata ukienda wikipedia ku isoma imeandikwa nayo ni kwa msaaada wa wikipedia AND I QUOTE The Central Intelligence Agency (CIA) is a civilian foreign intelligence service of the U.S. Government, tasked with gathering, processing and analyzing national security information from around the world
ambacho ninachobisha ni kuwa makao makuu ya CIA sio pentagon ni LANGLEY
Unadhani ilo tukio lilikua linaashiria nini?kuna siku moja nilikwenda kumtembelea dada yangu nchi moja ya jirani hapa africa. ilipofika mida ya jioni nikaona ni vema ninyooshe miguu kwa kwenda sehemu za kati kati ya mji nikiwa na binti yake mdogo wa miaka 5 kwa kuwa nilikuwa bored kukaa tu home kwa siku nzima. nikiwa ninatembea pembezoni mwa barabara kuelekea huko city center nilihisi kulikuwa na mtu anatembea sambamba na mimi ila akiwa upande wa pili wa barabara. huyo mtu alikuwa ana muonekano mchafu kama mtu wa kubeba takataka. nikawa kila nikiongeza speed ya kutembea na yeye pia anatembea kwa speed kama yangu lakni yeye akinitangulia kwa umbali wa mita chache sana, na nikipunguza tu mwendo na yeye anapunguza. nilijaribu kujifanya kuangusha kalamu (pen) yangu kwa makusudi kwa nyuma nikiwa ninatembea kisha nikajifanya kama ninarejea kuifuata, yeye akawa anasimama huku anazuga kama vile anajikuna mgongoni kwa muwasho. hapo sasa ndipo machale yaliponicheza nikaamua kuahirisha safari na kurudi nyumbani nilipofikia. kuanzia siku hiyo sikwenda tena mbali kutembea mpaka siku narudi nchini mwangu.
someone was tailing me and i was put on watch ila sijui ni kwa madhumuni gani hasaUnadhani ilo tukio lilikua linaashiria nini?
I believe they were after something either in your knowledge or in your possessionsomeone was tailing me and i was put on watch ila sijui ni kwa madhumuni gani hasa
really? and how is that possible. some more elaboration please.I believe they were after something either in your knowledge or in your possession
Maybe a hint or clue about something or someone else that is linked to you. That could have been useful to them, once assembled in and fixed in a big puzzle.really? and how is that possible. some more elaboration please.
that's amazing piece of writing. man, did you know that to smoke out an intelligence operative, one must compel him to do things they are always forbidden to do?Maybe a hint or clue about something or someone else that is linked to you. That could have been useful to them, once assembled in and fixed in a big puzzle.
NB
When it comes to intelligence agencies and investigations," no detail is too small"
Like what things?that's amazing piece of writing. man, did you know that to smoke out an intelligence operative, one must compel him to do things they are always forbidden to do?
mkuu, naskia idara za usalama za ufaransa zilikataa kuruhusu engineers kutoka kampuni ya daimler benz kukagua mabaki ya gari aina ya Mercedes-Benz S280 iliyomuua diana na hawara yake ili kuangalia kulikuwa na mapungufu gani kwenye brake systems za gari hiyo. hii issue imekaa vp kaka mkubwa??????Maybe a hint or clue about something or someone else that is linked to you. That could have been useful to them, once assembled in and fixed in a big puzzle.
NB
When it comes to intelligence agencies and investigations," no detail is too small"
Kwa kweli sifahamu lolote kuhusu ili. Naomb nilifanyie kazi mkuumkuu, naskia idara za usalama za ufaransa zilikataa kuruhusu engineers kutoka kampuni ya daimler benz kukagua mabaki ya gari aina ya Mercedes-Benz S280 iliyomuua diana na hawara yake ili kuangalia kulikuwa na mapungufu gani kwenye brake systems za gari hiyo. hii issue imekaa vp kaka mkubwa??????
poa tafuta mkuu kisha utuletee mambo matamu humu kakaKwa kweli sifahamu lolote kuhusu ili. Naomb nilifanyie kazi mkuu
mkuu, kwa mfano wewe ni officer wa idara ya ujasusi ya mossad na umetumwa kwenda Angola kufuatilia mienendo yote ya mkurugenzi mmoja wa wizara ya nishati ya Israel (anaenda wapi, anakutana na nani na wanaongea nini) inayepanga kwenda huko miezi mitatu ijayo kufuatilia mikataba ya uchimbaji wa mafuta, ili isijetokea huyo director anaenda Angola kukutana na mawakala wa Iran na kubadilishana nao nyaraka za siri sana za dola ya wayahudi. Sasa moja kati ya maagizo uliyopewa na wakuu wako wa kazi na kwamba usilale (don't have sex) with any Angolan woman mpaka utakaporudi Tel aviv baada ya mission hiyo kukamilika.Like what things?
ukivuka hivyo vishawishi mara mbili mara tatumkuu, kwa mfano wewe ni officer wa idara ya ujasusi ya mossad na umetumwa kwenda Angola kufuatilia mienendo yote ya mkurugenzi mmoja wa wizara ya nishati ya Israel (anaenda wapi, anakutana na nani na wanaongea nini) inayepanga kwenda huko miezi mitatu ijayo kufuatilia mikataba ya uchimbaji wa mafuta, ili isijetokea huyo director anaenda Angola kukutana na mawakala wa Iran na kubadilishana nao nyaraka za siri sana za dola ya wayahudi. Sasa moja kati ya maagizo uliyopewa na wakuu wako wa kazi na kwamba usilale (don't have sex) with any Angolan woman mpaka utakaporudi Tel aviv baada ya mission hiyo kukamilika.
sasa katika kukupima kama wewe ni foreign operative ama la, hao vijana wa kazi wa huko Angola watajaribu kukutumia wanawake warembo wa hapo hotelini ulipofikia ama utakapokuwa unatembea mitaani ili kuona kama utaenda kinyume na orders ulizopewa na wakuu wako wa kazi ama la.
HAPO UMENIELEWA SASA???
hapo nilikuwa ninafafanua hiki nilichomuuliza mkuu Panzermeyer hapo juuukivuka hivyo vishawishi mara mbili mara tatu
hao wanaokufuatilia wanasitisha au ni zoezi endelevu? hata utakapo kuwa kwingineko?
ila kama ni mkuu wa idara kwa makeke uliyo nayo huwezi shindwa kung'amua kuwa hao warembo wapo hapo kwa shughuli maalumu...
Weltmeisterschaftung said:man, did you know that to smoke out an intelligence operative, one must compel him to do things they are always forbidden to do?
Mkuu hivi huu Uzi una neno TISS kweli? ivi unadhani mambo ya intelligence ni kwa ajili ya Umma tu? Hujui kuna private people wana ajiri Mashushu kwa ajili ya kukusanyiwa taarifa zao either za kampuni au taasisi kwanini unahisi tunawaanika TISS kwanza hatuijui wala hatujui mfumo wake huu uzi umechambua general method not tiss methodkuna mada iliyokuwa na kichwa TISS wanatumia vyombo Gani vya mawasiliano? ilianzaishwa siku kama tatu zilizopita ila naona ilikwisha fungiwa. kwa sasa naona umeamua kuja kwa style nyingine tofauti kabisa. rai yangu kubwa kwetu sote ni kwamba naomba tusipende kuwachimba sana hawa ndugu zetu wa TISS kwa kuwa wanayoyafanya ni kwa maslahi ya taifa zima la Tanzania pasipo kujalia itikadi zetu. kuelimishana kuhusu taaluma hii kongwe ya ujajusi si vibaya sana lakini naomba tujiwekee mipaka ya vitu vya kuuliza.
Long live Tanzania.
"Das Billige ist immer das Teuerste"
Ni Drone mkuuSiku hizi wanatumia drons ku-access mobile communications,
Drons hizi zinapopaa angani zinatengeneza minara ya simu feki, na kukusanya taarifa za watumia wa simu za mikononi waliopo ardhini, mfano mzuri katika mikutano ya vyama Vya siasa pale jangwani.
Kifaa hiki kinatengenezwa USA, na bei yake ni USD 145,000.