mkuu, kwa mfano wewe ni officer wa idara ya ujasusi ya mossad na umetumwa kwenda Angola kufuatilia mienendo yote ya mkurugenzi mmoja wa wizara ya nishati ya Israel (anaenda wapi, anakutana na nani na wanaongea nini) inayepanga kwenda huko miezi mitatu ijayo kufuatilia mikataba ya uchimbaji wa mafuta, ili isijetokea huyo director anaenda Angola kukutana na mawakala wa Iran na kubadilishana nao nyaraka za siri sana za dola ya wayahudi. Sasa moja kati ya maagizo uliyopewa na wakuu wako wa kazi na kwamba usilale (don't have sex) with any Angolan woman mpaka utakaporudi Tel aviv baada ya mission hiyo kukamilika.
sasa katika kukupima kama wewe ni foreign operative ama la, hao vijana wa kazi wa huko Angola watajaribu kukutumia wanawake warembo wa hapo hotelini ulipofikia ama utakapokuwa unatembea mitaani ili kuona kama utaenda kinyume na orders ulizopewa na wakuu wako wa kazi ama la.
HAPO UMENIELEWA SASA???