Wengine hutumika hadi kwenye malipo bira kujua. Mfano, double agent anapotaka kulipwa na serikali ya nchi nyingine, baada ya kufanikisha dili la kijasusi, badala ya kumlipa fedha taslimu, taifa hasimu linaweza tumia vitu kama mkufu au pete ya dhahabu, ambayo inamalipo sawa na kiasi ambacho yule mtu anglipwa kwa fedha taslimu. Lengo ni kuficha traces za financial transactions.
Sasa hapo ndo unaambiwa peleka mkufu au pete kwa sonara, kumbe uyo mtu ndo double agent mwenyewe ambaye anapokea malipo. Au yeye anakaa nao alfu muhusika , anayestaili kupokea malipo akifika anapewa kisha yeye anaenda kuuza ure mkufu na kupata kiwango kile kile cha pesa. Akiulizwa katoa wapi fedha, kama akiweka kwenye akaunti yake, atasema nilipata kutokana na kuuza zawadi ya mkufu niliopewa na rafiki yangu / ndugu toka nchi flani.
Kwaiyo naungana na wewe kua, unaweza kuta, uyo sonara aliyetunza mkufu na yule aliyetumwa kupeleka mkufu kwake, hawajui kinachoendelea ingawa wameshiriki katika kufanikisha zoezi ili