ESS ni janga kwa watumishi wa umma si msaada siku ya tano mfumo haupo hewani, na hakuna tarifa rasmi

ESS ni janga kwa watumishi wa umma si msaada siku ya tano mfumo haupo hewani, na hakuna tarifa rasmi

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,283
Reaction score
11,558
Pamoja na serikali kupambana katika kuboresha maslahi ya watumishi kuna huu mfumo unaitwa ESS unaoshughulikia mambo mbalimbali ya kiutumishi kwa watumishi aisee hiki ni kimeo tena kimeo kikubwa tu baada ya kupunguza migogoro sasa kinaongeza migogoro kwa mtumishi na mwajiri wake hasa serikali kwani mafisa utumishi uko maofisini wao nikusema mfumo unasumbua jamani

Mfumo siku ya saba leo haupo vizuri mtu akitaka fanya uhamisho shida, akitaka pandisha tarifa za kiutendaji shida, akitaka kupata hati ya mshahara shida, akitaka kukopa hapo ndio wamezima kabisa huduma hazipo na hakuna tarifa rasmi shida nini semeni kama mfumo umekuwa mgumu rudini zamani watu madaraja hawajapandishwa kisa mfumo kiukweli watu wa IT uko utumishi mnazingua toeni tamko siyo mnajifungia maofisini watu wanahangaika uku kwa sentesi ya mfumo haupo vizuri kwani mfumo ni Mungu acheni mambo yenu haya mnajuq huu ni mfumo wa kiutendaji hakuna tarifa yoyote kwenye tovuti ya utumishi au tamisemi kwanini mfumo unasumbua mpo kimya achieni mfumo watu waendelee na mambo yao, mnatesa watu
 
Hivi inawezekana kuhama Taasisi kupitia ESS kuna kipindi niliomba ombi halikufanyiwa kazi miezi sita nakaamua kuondoa ombi langu.

Mwajiri alipitisha lakini Utumishi hawakufanyia kazi muda mrefu.
 
unataka kukopa? si ujikopeshe tu
Mfumo unadeal na mambo mengi kila siku mtumishi anapaswa kupandisha tarifa zake za kiutendaji, wengine kuomba uhamisho nk sasa suala la mfumo kuwa down ni tatizo na hakuna tarifa muhimu kuna watu this year wameshindwa pandishwa vyeo wanambiwa tarifa zao za kiutendaji mwaka uliopita zipo chini mfumo imemtema sasa kwa mtindo huu mfumo unatoweka tu bila kuwepo tarifa nini shida uoni ni tatizo
 
Hivi inawezekana kuhama Taasisi kupitia ESS kuna kipindi niliomba ombi halikufanyiwa kazi miezi sita nakaamua kuondoa ombi langu.

Mwajiri alipitisha lakini Utumishi hawakufanyia kazi muda mrefu.
Ndio shida ipo hapo mzee mfumo umekuja rahisisha mambo ila watendaji wanajizima data
 
ESS inaonekana imewashinda watu wa TAMISEMI kwenye suala la uhamisho na badala yake hawasemi waziwazi.
 
Mkopo NMB nimeomba nimeshapewa hela nimetumia Lakini mfumo umeganda na Submitted for disbursement miezi 2 sasa mtumishi unashindwa Kuomba mkopo mwingine ufanye yako ukifuatilia hupewi masuhisho ya mana Hii mfumo tumeletewa lakini hatukujipanga kuisimamia na kuiendesha ni upuuzi mtupu
 
Moja ya wizara za ovyo ni hiyo ya Tamisemi imejaa vilaza wengi mno huko juu
 
Kitu kinachosikitisha zaidi hakuna anayejali malalamoko ya huu mfumo no mwiba na yamegharimu watu wengi sana mie ningependa usitumike tena .unaomba mkopo wiki 2 unagoma daaah
 
Back
Top Bottom