Ess portal watumishi imekuwa habari ya mujini

Ess portal watumishi imekuwa habari ya mujini

Doto12

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
640
Reaction score
1,141
Wale makiwadi watakosa kazi.

Maafisa elimu ni kama makuadi mfumo ukitulia waturudi kufundisha mamamina.

Jamani watumishi wenzangu. Huu mfumo kwa sie pangu pakavu tunasabmit bila baadhi ya taarifa kukamilika??


 
Mfumo huu si rafiki kwa baadhi ya maeneo,ni changamoto sana
 
Back
Top Bottom