Nenda kwa maafisa wako wakubadilishie, je unalipwa salary tofauti na cheo chako??Wakuu kama designation haiko sahihi ni hatua ipi ifanyike
Nimeenda wamepambana ,bado haijabadilika lakini salary na cheo cha sasa zinafanana lakini changamoto majukumu ya kiutumishiNenda kwa maafisa wako wakubadilishie, je unalipwa salary tofauti na cheo chako??
Hii nchi Kuna kipi wamefaulu1. Watu wa IT itakuwa imewashinda kutengeneza hiyo huduma, au
2. Makampuni/Benki zenye riba kubwa za mikopo zitakuwa zimewapoza watalaami wa IT ili wasiruhusu mfumo kufanya loan transfer ili wasikimbiwe na wateja, au
3.Uzembe wa kiutendaji.
Usitupangie maisha dogoPamoja na yote watumishi kumbukeni kuwa na mikopo isiyobadilisha maisha yenu ni upumbavu mtupu. Kabla ya kuchukua mkopo jiulize maswali magumu sana. Je, una commitment ya kuhakikisha unasimamia hiyo kazi uliyoombea mkopo kwa 100%?
Supervisor wako amekushushia majukumu au umeyatengeneza mwenyewe?Nimeenda wamepambana ,bado haijabadilika lakini salary na cheo cha sasa zinafanana lakini changamoto majukumu ya kiutumishi
Nimetengeneza mwenyeweSupervisor wako amekushushia majukumu au umeyatengeneza mwenyewe?
Pia ni section tofauti agriculture na livestockNimeenda wamepambana ,bado haijabadilika lakini salary na cheo cha sasa zinafanana lakini changamoto majukumu ya kiutumishi
Mbane tu afisa utumishi hapo, hiyo kazi anaifanya mwenyewe, sema wanaamua kukuzingua tu si unajua tena mambo ya kiafrika.Nimeenda wamepambana ,bado haijabadilika lakini salary na cheo cha sasa zinafanana lakini changamoto majukumu ya kiutumishi
Nimesoma sahihi ulivyosema cheo na salary ni sawa changamoto ni majukumu?Nimetengeneza mwenyewe
Ndio changamoto ni majukumu tuNimesoma sahihi ulivyosema cheo na salary ni sawa changamoto ni majukumu?
Sasa si uyaweke ambayo unatakiwa kuyafanya?Ndio changamoto ni majukumu tu
Cheo sio sahihi maana inapaswa niwe livestock officer ii lakini kwenye designation ya ess wameweka Agricultural officer iiSasa si uyaweke ambayo unatakiwa kuyafanya?
Watu wanaoweza kukubadilishia ni IT officer au focal person wa huo mfumo kwa hapo kwenuCheo sio sahihi maana inapaswa niwe livestock officer ii lakini kwenye designation ya ess wameweka Agricultural officer ii