Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Bado yuko vizuri na anaweza kucheza kwa miaka mingine mitano .Jamaa anajua sana,na kwa golikipa inawezekana
Kuna chuma kinaitwa Dino ZoffYeah mifano iko nyingi kama Buffon na David james, uzuri kwa kipa anapokuwa anaumri mkubwa ndio uzowefu anaimarika