Essam El Hadary avunja rekodi Afcon

Essam El Hadary avunja rekodi Afcon

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Amekuwa ndiye mchezaji mkongwe zaidi kucheza katika michuano hiyo ( miaka 44 ) , mara baada ya kuchukua nafasi ya kipa no 1 aliyeumia .

Mungu mpe maisha marefu ili aendelee kufundisha vijana .
 
Halafu kafanya save moja matata sana , katoa mpira mguuni mwa mtu ! Hakika mkubwa dawa .
 
Buffon juzi kacheza na mtoto wa Enlico Chiesa,ambaye alikuwa naye Juve miaka hiyoo.
 
Hapa bongo nadhani mzee wa kiminyio Madaraka Selemani atakuwa miongoni waliocheza wakiwa na umri mkubwa.
 
Back
Top Bottom