Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi(CCM) Essau Jeremia Mbukwa amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania nafasi ya Udiwani kata ya Malangali.
Mbukwa amechukua fomu hiyo June 28,2025 katika ofisi za kata ya Malangali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.