PAYE JF-Expert Member Joined Jun 19, 2025 Posts 459 Reaction score 644 Jun 30, 2025 #1 Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi(CCM) Essau Jeremia Mbukwa amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania nafasi ya Udiwani kata ya Malangali. Mbukwa amechukua fomu hiyo June 28,2025 katika ofisi za kata ya Malangali.
Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi(CCM) Essau Jeremia Mbukwa amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania nafasi ya Udiwani kata ya Malangali. Mbukwa amechukua fomu hiyo June 28,2025 katika ofisi za kata ya Malangali.
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 8,681 Reaction score 16,290 Jun 30, 2025 #2 Malangali ni kata,je ipo wilaya na mkoa gani? Abadilishe wapambe,maana hamjui namna ya kuwasilisha taarifa.
Malangali ni kata,je ipo wilaya na mkoa gani? Abadilishe wapambe,maana hamjui namna ya kuwasilisha taarifa.
Mikopo Consultant JF-Expert Member Joined Oct 28, 2024 Posts 2,375 Reaction score 4,784 Jun 30, 2025 #3 Hongera Essau, utashinda
Sisyphus JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,967 Reaction score 8,763 Jun 30, 2025 #4 Kila mtu anaechukua fomu akiletewa uzi humu patatosha?
Sisyphus JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,967 Reaction score 8,763 Jun 30, 2025 #5 Mikopo Consultant said: Hongera Essau, utashinda Click to expand... Eti hongera Essau utashinda ? atashinda nini sasa uchaguzi au mchujo?
Mikopo Consultant said: Hongera Essau, utashinda Click to expand... Eti hongera Essau utashinda ? atashinda nini sasa uchaguzi au mchujo?