Estadio Santiago Dé Bernabeu, hekalu la soka lililobeba historia kubwa ya soka


Camp nou haifiki hata kwa WandaMetrapolitano
 
Mkuu umuelezea vizuri kabisa uwanja huu, ambao ni kivutio kikubwa hapa Earth-ni.

Kingine umesahau kukiweka, ni ile technology ya best RETRACTABLE PITCH in the GALAXY.

Hiyo pitch iiyo juu, inaweza kurudishwa chini, af kuna pich iliyo chini ikapanda juu. Kiwanja kimoja, kina viwanja kibao ndani yake, kwa ajili ya michezo mbalimbali.
 
Santiago bernabeu ndio best veue kwa sasa Duniani
 
naitwa Masanja Mayunga natokea Mwanza.nimefika Darasalama juzi usiku.

nilikua naomba mwenye fesi buku na wasapu aniuzie niweke kwenye simu yangu ni mpya mjomba kaninunulia, au munielekeze duka wanalouza huko kalaakoo.

wabheja sana nkoi.
Sawa,anachokosea mwana Barcelona mwenzangu ni kuwa uzi unazungumzia uwanja wa jamaa zetu,ata yeye afungue tu uzi unaozungumzia La Masia haina shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…