SorryTaratibu Mr. Great Thinker, ulianza vizuri, sasa unaharibu mkuu!
Sir, Expert
normally i dont hate but please dont popularize this dumb kwa sababu ya lugha.
again sorry to you and mashaka im going to edit it.[/FONT][/COLOR]
What do you mean kwa sababu ya lugha?
Hivi aka katabia ka kuongea kithungu bado mnafikiri ni ujiko kwa nyie ambao hamjarudi home kitambo? Siku hizi bongo vitoto vya chekechea vinatema lugha balaa, mambo yamebadilika ati!
Sir, Expert
Soma vizuri mada zake kama we kweli umeenda shule utaona zina lawama without explained solutions. To me that is an empty head.
Sir, The point hapa ambayo uiangalii kuna kitu kinaitwa 'invisible hand', if buyers where target due to their earnings none of that would have popped up. An agent is also a man who leaves on commission largely, therefore akimpata ng'ombe ujue ataenda machinjoni unfortunately; that is why they say capitalism is a ruthless beast. Its the job of the buyer to shop around and afford what is on his means.
kwa nini watu wako tayari kulipia laki 5 kupanga sinza?kulipia dola 100o upanga n.k?
tukijibu maswali haya yatatusaidia kumaliza tatizo
Kimweri nimekuelewa na nashukru sana kwa ufafanuzi mzuri;, lakinije bei ya ardhi tupu inatokana na nini? Yaani bei ya ardhi tupu Tanzania ni zaidi ya bei nyumba moja ya vyumba vitatu na vyoo viwiwli kwenye jiji la Houston Marekani.
Kimweri nimekuelewa na nashukru sana kwa ufafanuzi mzuri;, lakinije bei ya ardhi tupu inatokana na nini? Yaani bei ya ardhi tupu Tanzania ni zaidi ya bei nyumba moja ya vyumba vitatu na vyoo viwiwli kwenye jiji la Houston Marekani.
Miaka michache iliyopita niliona ripoti ya miji ambayo ina gharama za juu za maiisha duniani. Dar ilikuwa ya pili baada ya Tokyo. Nilishangaa sana lakini nikaamua kufanya utafiti wangu mwenyewe. Nilipokuwa Dar nikapita katika baadhi ya hotel kubwa na kuchukua bei za vyumba, vyakula na vinywaji. Nikafanya comparison na miji kama London, Paris, New York na Toronto. Cha kushangaza katika bei za vyumba, vyakula na vinywaji Dar iliongoza kote huko kwa kuwa na bei za juu mno kuliko katika majiji hayo mengine. Nilishangaa sana lakini nilithibitisha ile ripoti iliyoiweka Dar kama mji wa pili kwa gharama kubwa duniani ilikuwa ni kweli kabisa.
It is very sad..,moreover Dar is unquestionably a very big Town!!NOT a city by any standard..,at least not a city in the same league as Tokyo or London.
Narudia Tena.ni nani aliyewaambia watanzania KULIPIA vitu kwa GHARAMA KUBWA ndio maendeleo??
sasa hivi imekuwa kama sifa kukaa nyumba ya bei ghali,kusomesha mtoto shule ya mamilioni,kuvaa nguo za malaki?what is wrong with middle class ya hiki kinchi??
For sure!
A good service is a post paid one!
Sir Expert,
Wacha nianze na kusema yes i'm not an estate agent nor a retailer or my degree is of an economy one. By trade if I was to persue a career in employment im a much associated with Psychology, Social policies (little bit of economy understanding is essential), Sociology and Social Anthroplogy.
Since I want to venture elsewhere with my life I had to embark on an 'economy' and 'bussiness accounting' through self taught. Uzuri wa degree za ulaya ni huu hata hile the first one ni kama unajifunza mwenyewe University wapo as guidence on right theories after that its up to you to hit the books. Usomi upasi simple as that: Its not about cramming its about learning, understanding, elaborating, weighing, criticising and you proposition. Hivyo most essays though would sound similar but would somehow have different arguments.
Ukishapata hizo basics then you can learn anything you want on your own so long as you apply the criteria's of learning at things on similar subjects ukitaka kujua utajua vingi, apart from 'pure sciences and maths.
The rest if you have a GCSE's (form four bongo) its up to you what you want to do with knowledge, sasa usishangae nyumba za wazungu zimejaa vitabu au politicians ambao ni 'law graduates' wanabishana na wachumi, wanabishana na expert opinions on most fields apart from 'pure science'. Its what you do after that, if your smart you will always produce strong arguments na if your not you'll produce pumba. Degree zinatoka toka za aina tano (Honours, First, Second I, Second II, and a Third).
Anaemaliza kati ya hizo tatu za mwanzo ujue kichwa kipo regardless of the University. Na hao wengine ndio tuseme wana-limited knowledge dont expect much creativity hapo.
Turudi kwenye swali lako like I said im not an expert broker. Lakini i also know by fact ya kwamba a capitalist market is a free market. People will set price lakini at the end, market prices will adjust it self kama kuna enough competition.
Its about time uangalie laws of consumer suppliers demands. Na kwa nini wanasema market prices will end up adjusting themselves kama kuna competition. Na kwa nini wanasema hata hiyo competition, only the fittest watabaki at the end. Na mwisho kuwa na only about enough profit for suppliers to make profit.
Ndio unaona in most recession companies go burst, these people trade on thin margins. Ni kitabu kizima hicho nikikuelezea.
Sasa rudi angalia market yenu how do you suppose the government should regulate those agents. kama unaona nyumba aziuziki ndio hali halisi the prices are too high for the market. Hapo sasa unadhani what next in two three years time, wacha nikusaidie bei zitashuka zenyewe so far that is just artificial pricing aina maana kwamba kutakua amna wapangaji au wanunuzi at the moment lakini not enough to go around the market.
Your issue ni ndefu mno i suggest you learn more about economics and property ya kwenu uje na mbinu ya kui-elaborate market za huko. Kwani hata nikisema nikutafutie kitabu cha property market cha huku itakua kazi bure tu. Why, kwa sababu its economics first, na pili kitakua kinazungumzia land laws za huku, taxes zao, ambazo ni nyingi mno na zina differ na price tags kwa buyers.
Kwani huku hata buyers pay taxes on houses, Hivyo hiyo pia ina deter some people from buying, at certain price tags if its not that necessary for their needs. In short the government has to get creative na kumaliza rushwa, kwani hili ni tatizo lengine na benks kutoa responsible loans.
Ukishaweza huwa rushwa hata kwa 80% nationally then tutajua where we are economically. People will suffer for a while, many companies will close but then Tanzania itaanza kujua inaenda wapi with real targets. And the right policies vinginevyo tutajiuliza kwa nini sisi maskini miaka mia ijayo. Kama tunakwepa kanuni za maendeleo.