Kimweri nimekuelewa na nashukru sana kwa ufafanuzi mzuri;, lakinije bei ya ardhi tupu inatokana na nini? Yaani bei ya ardhi tupu Tanzania ni zaidi ya bei nyumba moja ya vyumba vitatu na vyoo viwiwli kwenye jiji la Houston Marekani.
Bei ya ardhi Tupu tanzania, ni matokeo ya bei za nyumba na bei za kodi za nyumba.
bei ya Ardhi Tupu ni matokeo ya Rushwa iliyobobea kwenye jamii yetu.
Ukiangalia tathmini za Wizara ya ardhi wakati wa ukaguzi wa ardhi vitu vingi viko wazi,mfano Mnazi watakuambia una thamani ya laki 2,muembe laki 3 n.k,mwisho wa siku wastani wa hekari moja ya ardhi tupu ni kati ya milioni moja hadi 2.
sasa Tatizo linaanzia hapo hapo kwenye maafisa wa wizara ya Ardhi,wao huweka tathmini za uongo ili wapate cha juu.
Mfano wale wanaopitiwaga na bomoa bomoa za serikali,wako tayari kuhonga maafisa wa wizara ili Ardhi zao zipandishwe thamani,kwa hiyo kama ardhi ilikuwa na thamani ya milioni 3 inaandikwa 20.kwa sababu mlipaji hafanyiwi auditing yoyote ya maana liwalo na liwe.
Nikitazama mashamba ya milioni 200,huwa najiuliza kodi wanalipia kwa kufuata thamani wanazouza?kununua?
ifike wakati manunuzi na mauzo yote ya Ardhi na nyumba yapitie mamlaka husika,kama vile tunavyouziana magari ili kudhibiti upangaji hovyo wa bei...,then again that is downright Communism.
There is something very saddening going on in Tanzania now,someone has successfully convinced Tanzanians that having Vogues,Ferraris,staying in $1000 dollar "apartment" is development.if they go down that path they live a better life..,
The same person have also successfully convinced Tanzanians that Modern Roads,Good Hospitals,Proper Medical Care,Good Education systems, are luxuries of the west..,we are so poor to afford them now!!we are still a developing country..,
Me always think something is terribly wrong with our country..,Man years ago When i read Kusadikika my young brain told itself,"this author is so imaginative,how can a country be so chaotic!!"
now i understand how deep visioned the fella was,and i feel so sad for being in KUSADIKIKA.