Sir Kimweri, Mkuu nimekusoma na nimekupata sana, na asante sana kwa msaada wako mkubwa. Hila ngojea niseme kitu kimoja tukiweza kukamata majambazi wote hapo dar; wengi hawatakua na sababu za kuzungushia ukuta wala kuweka walinzi magetini mwao. Its point less especially hao walinzi wangekua ni hasara tu kuwalipa. Point hapa ni hivi uwezi ukaweka ideal scenario kwenye situation uliyo nayo. Hii ndio ukweli wa kimaisha, unadili na fact zilizopo.
I totally agree with classes,a fool who thought people would be same must have overseen the very primary reason of our existence.
We are different,biologicaly,religiously,scientificaly..,you name it!in physics we call it entropy,energy moves around always!point/difference is change is an inevitable part human life.
Tukirudi kwenye issue ya kuwa na Uniform trouble-less society from Masaki to Ubungo to Mbezi,that is a bit far fetched.BUT imagine we had 500 patrol cars,a modernized police(just close to our current parliament-with cars and ICT stuffs etc)..,HAKUNA SABABU YA MAJAMBAZI KUSUMBUA WATU MANZESE WAKATI NI just 7 kms from MASAKI!!hakuna mto katikati au Bahari,point is Dar ni mji mdogo mnoo..,wakubwa wana-concentrate resources walipo wao tu.check this..,you have a safe mikocheni,safe masaki,a not so safe mwenge then you have a safe mbezi beach 25kms away!!huu ni utani..,
Tofauti ya Mabibo(uswahilini) na Masaki(uzunguni) ni kubwa mno hadi inakera.
Masaki kuna:-UMEME,MAJI,USALAMA,na huduma nyingine nyingi za msingi..,MABIBO na kwengineko uswahilini kila kitu ni kinyume cha UZUNGUNI.
Ntajaribu kufipisha hii post kwa kuwa sina enter button hapa kwenye hii laptop hila kuna kuna baadhi ya vitu ningependa majibu yako. Mfano kwani anaenunua shirt la designer au hawa ma-celebrity ambao wananunua expensive wear only for high street retailers to imitate the design for cheaper kuna kasoro gani hawa celebrities kurudia kununua tena kwa ma-designer wakati cheap copies zimejaa tayari high street? au hii nayo utaiita sifa.
Siajkupata hapa kikamilifu lakini ma-celebrities ninaowajua hardly buy anything...,they mostly get freebies..,hela wanazo kununua tununue sie kina kapuku.
Hii kuvaa nguo zinazovaliwa na ma-celebrity ni pop culture byproduct you have to live with it as long as you want to be hip.
Again capitalism is a complex matter,no one alive will llive to see how 100% capitalism society will look like.
Pili umesema serikali au unaona wewe ni only through command laws ndio hii situation can be sorted how? Na mwisho au does the middle class somehow responsibe, kwanza are we a rigid class society and how do they come contribute with the proplem at hand.
Yeah i honestly believe only order from the government will restore things,BUT again this will be a contradiction of our policies,something JK gov is not willing to do,they can't afford to stand out.the guy just take care of daily stuffs..,nothing outstanding from his Team,so not leadership type!
Mfano nchi kama US watu wanafikiri is a 100% free from regulations,no limit,capitalist country!but the truth is they have gazillions of regulations.
Kuna masheria kama Anti-dumping laws,FCC(hawa wanachuja electronics zinazouzwa US)..,na maupuuzi mengine kibao tu..,hawa jamaa wamekaa kama gatekeepers kuchuja pumba na mchele(point is hata the biggest capitalist ana control).
Mimi nina self definition kuwa,anyone owning a house(iwe sinza au Buguruni,au manzese)..,working and getting a considerable salary,takes kids to school,pays for medicals,ana watoto wa mjomba anawasomesha etc..,HUYU NDIO MIDDLE CLASS WA TANZANIA..,
ofcourse hapo pia kuna madaraja,kuna low middle class,wale walio-kwenye daraja la chini la vyeo,mapato madogo,wanaishi sehemu za kawaida etc..,
na kuna upper middle class,wale wanaoishi kijitonyama,mbezi,kinondoni,mwenge etc..,hawa ni mameneja,wakuu wa idara,wakuu wa vitengo etc,wanamiliki magari kadhaa,wana nyumba kadhaa,wanasomesha watoto shule nzuri,wengi wamesoma nje etc..,sio matajiri ila wako content na maisha.hawa wengi huitwa mapedeshee mjini au "Mzee" or "mama".
Then kuna UPPER CLASS wa bongo hawa Tunawajua,they are kingmakers,they make TZ go around,90% live in MASAKI,OBAY,MBEZI BEACH,KAWE BEACH,MIKOCHENI..,waishi wapi wakati kamji kenyewe kadogo!
hawa wana ndio waendesha nchi,kwa maana kuna mawaziri,wabunge,wafanyabiashara wakubwa..,wengi wao wana offshore accounts na wanamiliki biashara au investments kubwa tu.au wameweka hela kwenye mafriji yao!
Hawa 99% ya matatizo ya watanzania hayawahusu!!kuna mdau aliwahi kusema kwenye moja ya mabaraza ya HUMU ndani.
ELIMU TZ MBOVU-wanapeleka watoto wao kusoma nje
BARABARA HAZIPITIKI-Wananunua AWD VX's zinazopita barabara zote.ofcourse kwenye makazi yao 90% kuna lami.
MATIBABU MABOVU-wakiumwa mafua tu,INDIA,UK,US kufanyiwa checkups
MACHAFUKO YA KISIASA-haooo canada,US etc!!mnakumbuka zanzibar??
UCHUMI MBOVU(HAMNA PESA)-wanatafuta sababu,stimulus plan zao(vitambulisho vya raia,Kilimo kwanza,etc ili tu kujiwekea money security ya mifuko yao)
huo hapo juu ni mfano mdogo tu kuonesha kuwa matatizo ya TZ hayatatuliwi na UPPER class..,aka VIONGOZI wetu!!sanasana wanayaongeza.
Matatizo ya tanzania yanatatuliwa na MIDDLE CLASS.FULL STOP.we became head-less chickens the moment these middle class started dreaming of the promised UPPER CLASS land all day long!
Badala ya kufanya kazi sasa kila mtu anatafuta mbinu y akumuibia mwenzie,ukienda dispensary bei juu,ukienda sokoni,bei juu,ukienda kupanga bei juu,kila sehemu MIDDLE CLASS wameharibu..,
Utakuta kuna kijeba kinaenda ofisini siku nzima ni kutafuta mianya ya RUSHWA,kufukuzia SEMINA zisizomhusu,kuwekea ngumu watu walioenda kufuata huduma ili watoe chochote,nothing productive.
Every other middle class man & woman now is thinking of owning a car,buying/building a big house in affluent area codes and fisading something..,
Siwaongelei LOWER CLASS wa tanzania kwa sababu hawa ni WAHANGA wa MIVURUNDO ya haya makundi mawili makubwa..,LOW CLASS TANZANIANS are so beaten up by hard life they are almost speachless,wanaishi kwa matumaini,wamepoteza maana ya maisha bora.wanasubiri kila baada ya miaka mitano,mabwana wakubwa washuke kutoka kwenye ma-VX yao,waache mahekalu yao kuja kuchukua KURA na kuwapa KULA japo kwa muda mfupi,after that GAME OVER.
inasikitisha sana,lakini kundi hili linajumusiha asilimia zaidi ya 90 ya watanzania.Wale wanaodandia kwa ndugu mijini,wale waliokata tamaa n akusubiri mvua vijijini,wale walioamua kuwa vibaka na wababaishaji mjini,hii ni nguvu kazi iliyokata tamaa siku nyingi mnoo
SASA hili tatizo la ARDHI,NYUMBA na mengine mengi WANAOSABABISHA ni MIDDLE class kwa sababu LOW CLASS are clueless,education less,don't care,and are not involved.
UPPER CLASS alone couldn't make such a MESS without the help of MIDDLE CLASS without their HELP.
personally i am really HURT by what the middle class Tanzanians have done to SCREW UP TANZANIA and TANZANIANS..,guess what!they are so quick at blaming the UPPER CLASS.