Entim
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 4,025
- 2,261
Nakushauri kama huna nia naye (ndoa/mapenzi) basi hujamtendea haki wallahi. Kuna lundo la wanasiasa waandamizi kuanzia ngazi za juu kabisa hatujawahi kuwaona wakiwa na wenza wao kwenye majukwaa ya kuomba kura wala matamasha.Jamani, hivi Ester Bulaya kaolewa?
Mme wake ni nan, yupo wapi na ana kazi gani?
Na watoto je?
Najaribu kufikiria kwa sauti.
SWALI NI JE, HUU MJADALA UNA MASLAHI NA TAIFA? KAMA NDIYO BASI TUWEKE ORODHA YAO HAPA.