Ester Bulaya ameolewa?

Jamani, hivi Ester Bulaya kaolewa?

Mme wake ni nan, yupo wapi na ana kazi gani?

Na watoto je?

Najaribu kufikiria kwa sauti.
Nakushauri kama huna nia naye (ndoa/mapenzi) basi hujamtendea haki wallahi. Kuna lundo la wanasiasa waandamizi kuanzia ngazi za juu kabisa hatujawahi kuwaona wakiwa na wenza wao kwenye majukwaa ya kuomba kura wala matamasha.
SWALI NI JE, HUU MJADALA UNA MASLAHI NA TAIFA? KAMA NDIYO BASI TUWEKE ORODHA YAO HAPA.
 
Nawaona nawaona makamanda wanavyomwaga povu kwenye huu Uzi
 
Ni ile kuongea yake tu na confidence ndio kinavutia ni kama yule msaidizi wa kipara bungeni.
 
Tatizo la waafrika na hasa Watanzania wakishasoma badala ya kuwa wagunduzi kama watu weupe(Europeans) they discuss people instead of ideas, research issues, they engage in Starehe, how to have many wives and concubines, drinking spree even if they are professors Drs consequently we end up importing items like toothpicks from China even simple medical pain killers! We should deal with interesting topics in this jammiiforum on how best the country should be governed and not nani kaoa nani au kaolewa na nani directing your God given talent on what lies between our legs! [emoji40]shame!
 
hivi makam wa raisi mme wake nani??

Mume wake anaitwa Bw Hafidh Ameir na walioana mwaka 1978 na Mpaka leo wako pamoja.

Walijaliwa watoto wanne.

Mmoja kati ya wanawe Wanne Hafidh Ameir (1982), ni mwakilishi maalum katika bunge la Zanzibar.

Na watoto wake ni wakubwa sana na Wanaweza kukuoa ili usiwe Msagaji kama Ulaya na Halimi
 
Mkuu kiyawi you might be right kuwa Wa-tz wanapo wa-discuss people ni tatizo but you should understand hawa tunaowazungumzia hapa ni public figure's wao ni kioo cha jamii, Europeans (White's) viongozi wao wanajiheshimu wakiharibu nao wana ambiwa makosa yao.
Jamii Forum siyo ukumbi wa mipasho pekee mbona kuna majukwa mengi humu ndani yana zungumza mambo mbalimbali.
 
mat
matusi yanini kwani huwezi kujibu bila matusi jifunze heshima na kuheshimu wengine
 
Staha ni muhimu mambo ya kuoana ni mambo binafsi labda yawekwe na wahusika wenyewew!
 
mat

matusi yanini kwani huwezi kujibu bila matusi jifunze heshima na kuheshimu wengine
Tusi liko wapi hapo? Kusema kuwa kama anataka kuolewa au anaweza kuolewa ni tusi?

Kwa jinsi swali lilivyoulizwa inaonyesha dhahiri aliyeuliza ana jinsia ya kike na ndio maana akajibiwa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…