McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Nimewaza tu kwamba kulikuwa na kipindi ambacho huyu ndo alikuwa ni moja kati ya think tanks ya CHADEMA
Kama Mbaga Jr anavyopendaga kusema, inasikitisha sana
-------------------
Mbunge wa Bunda Mjini mkoani Mara, Ester Bulaya, amesema hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu kilichotokea Oktoba 29, 2025 wakati wa Uchaguzi Mkuu, imeonyesha kiwango kikubwa cha ustahimilivu na uongozi wenye hekima.
Amesema tangu kipindi chake cha kwanza cha uongozi, Rais Samia ameweka mbele ajenda ya maridhiano, hatua iliyotoa picha ya kweli ya uzalendo na dhamira yake ya kuijenga Tanzania yenye umoja na utulivu