Ester Bulaya: Mwenyekiti wetu wa CHADEMA, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa Machame

Mbowe ni muumini wa KKKT tangu kuzaliwa ana haki ya kumwalika mtu yeyote kuja kanisani kwake kushirikiana na waumini wengine kwenye jambo lolote.
Au huko msikiti kwenu wanakataza kualikana hadi Imamu au sheikh wa msikiti??
Mualiko unafanywa na Askofu, lini muumini ndo anaalika watu??? Huo uongo unawasaidia nn ninyi vibwengo wa ccm???
 
Kwani wamekosana nini cha kuwafanya washishirikiane mpaka kwenye kazi ya Mungu?.
 
Kwa uwezo wangu wa akili mbowe ameamua ku play loose game ...
 
Sasa unauliza swali alafu Unajijibu mwenyewe.
 
Atakuwa ni Lissu
 
Unajiuliza maswali unajijibu kweli mzima wewe?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
SIASA, ni mchezo mchafu sana. Yajayo yanafurahisha.
 
Mahakama ilishatamka kuwa tulishawatimua.
Sasa kwa nini amewaalika kama wabunge?
 
Wanasiasa siyo watu wa kuwaamini hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…