Geofre Maseta
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 881
- 1,632
Mualiko unafanywa na Askofu, lini muumini ndo anaalika watu??? Huo uongo unawasaidia nn ninyi vibwengo wa ccm???Mbowe ni muumini wa KKKT tangu kuzaliwa ana haki ya kumwalika mtu yeyote kuja kanisani kwake kushirikiana na waumini wengine kwenye jambo lolote.
Au huko msikiti kwenu wanakataza kualikana hadi Imamu au sheikh wa msikiti??