Dawa ya Uvccm
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 2,223
- 4,717
Mnajiliwaza ila tunapenda kuwaeleza mwakahuu na ujao kipigo kipo palepale huyo mamayenu mwambien kuwa akipata asilimia 25 ya kura aende akatambike kizimkaz.Kama kapokea michango ya Rais wetu Mpendwa Dr. Samia S.H. kwa niamba ya "Kanisa" anashindwaje kuwaalika wabunge wake kindakindaki?
===
Tulikueleza Mzee Freeman umuelewe!
You may be right or wrongFrankly speaking!!!
Hawa wakina Mdee na shogaake bulaya ....kuchangia jumla ya tsh milioni 12 ujenzi wa kanisa analosali Mbowe"!....
Huku ni kujikomba kulikopitiliza! Na hii imekuja wakati muafaka (KIMKAKATI ZAIDI)...
Na hawa wanatafuta sympathy(huruma) ya Mbowe+wanachadema kuelekea uchaguzi mkuu!...
Na Hakuna kingine!!
Sisi sio watoto!... Wamesoma Alama za nyakati! Kuendana mdundo wa 2024-2025!
They know how&when to play it right!
Utasema wewe na basha lako huko ccm na hao makahaba mliowapachika wanajua mwisho wao umefika.Hamjasema,.mpaka mseme
Anaukatikia mamayenu mcheza movie wa kizimkazi huko ccm akisaidiwa na wewe bwabwa lake.Naona leo umeukalia na kuukatikia
Utajumlisha na kutangaza mabasha yako kwenye makorido ya lumumba.Wewe kapige kura, sisi tutajumlisha na kutangaza
Anayetambua mtu kua mbunge ni bunge kupitia tume ya uchaguzi.Mbowe ana mmlaka gani kutomtambua mtu kua mbunge wakati bunge linamtambua kama mbunge.Hawatatambulika sio wabunge baada yakutolewa taarifa rasmi ya bunge na tume ya uchaguzi.Chama kimewavua uanachama sio ubunge.Punguza ujinga.Mahakama ilishatamka kuwa tulishawatimua.
Sasa kwa nini amewaalika kama wabunge?
View attachment 2859046
LogicalKwamba mialiko ya Kanisa la KKKT anaitoa Mbowe ! kwamba yeye ndiye Askofu wa Kanisa hilo au mimi sijaelewa ?
Hayo majitu yana utindio wa ubongo.Mada zingine zinaanzishwa ukiziangalia unaona jinsi akili zao zilivyo ndogo.Kwani wamekosana nini cha kuwafanya washishirikiane mpaka kwenye kazi ya Mungu?.
This happens but only in KafiraKwamba mialiko ya Kanisa la KKKT anaitoa Mbowe ! kwamba yeye ndiye Askofu wa Kanisa hilo au mimi sijaelewa ?
Happy New Year 😀Siasa ni kama biashara nyengine yoyote. Hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu.
Wimbo Kunyata NyataUpendo Kwaya Kijitonyama
Mkuu Mbowe ni mtu muhimu sana hapo kanisani. Hata fedha alizotoa rais Samia ni kwa sababu ya Mbowe. Ila mimi namwelewa Mbowe na sitamlamu. Miaka yake yote kwenye upinzani amekuwa jasiri na amejitolea kuleta mabadiliko. Lakini watu anaojaribu kuwaongoza wao wamelala fofofo kiasi ambacho pale alipokamatwa bila sababu na kuwekwa rumande kwa muda mrefu raia walikuwa kimya. Waliojaribu kumpigania ni watu wasio raia wa Tanzania i.e. mabalozi wa nchi mbali mbali. Hawa walihudhuria kesi yake kwa muda wote huku sisi raia tukiwa tunabishana juu ya Simba na Yanga.Kwamba mialiko ya Kanisa la KKKT anaitoa Mbowe ! kwamba yeye ndiye Askofu wa Kanisa hilo au mimi sijaelewa ?
Umesema kweli kabisa. Makabila mengine yote hayataki fedha bali ni wachaga tu ndiyo wanapenda. Makabila mengine yote hata wakiokota fedha njiani hawachukui. Kwenye ufisadi kabisaa hawahusiki. Kwa kifupi ni watakatifu wanachukuliwa fedha kama laana ya dunia.Wachaga huwa hawakatai pesa
Kumbuka rais Samia alimpatia Mbowe mchango wa KKKTKwamba mialiko ya Kanisa la KKKT anaitoa Mbowe ! kwamba yeye ndiye Askofu wa Kanisa hilo au mimi sijaelewa ?
Kuna msemo wa kabila letu: mwenye kilago hakosi mahali pa kulala. Mdee kisiasa aliishajijenga tangu zamani, anao mtaji hivyo yeye ni asset akiamua kugombea ubunge kwa tiketi ya chama chochote atakaribishwa na anaweza kushinda hivyo hahiitaji sana CHADEMA kama unavyodhani.Frankly speaking!!!
Hawa wakina Mdee na shogaake bulaya ....kuchangia jumla ya tsh milioni 12 ujenzi wa kanisa analosali Mbowe"!....
Huku ni kujikomba kulikopitiliza! Na hii imekuja wakati muafaka (KIMKAKATI ZAIDI)...
Na hawa wanatafuta sympathy(huruma) ya Mbowe+wanachadema kuelekea uchaguzi mkuu!...
Na Hakuna kingine!!
Sisi sio watoto!... Wamesoma Alama za nyakati! Kuendana mdundo wa 2024-2025!
They know how&when to play it right!