Ester Bulaya: Mwenyekiti wetu wa CHADEMA, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa Machame

Ester Bulaya: Mwenyekiti wetu wa CHADEMA, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa Machame

Kama kapokea michango ya Rais wetu Mpendwa Dr. Samia S.H. kwa niamba ya "Kanisa" anashindwaje kuwaalika wabunge wake kindakindaki?
===
Tulikueleza Mzee Freeman umuelewe!
Mnajiliwaza ila tunapenda kuwaeleza mwakahuu na ujao kipigo kipo palepale huyo mamayenu mwambien kuwa akipata asilimia 25 ya kura aende akatambike kizimkaz.
 
Frankly speaking!!!

Hawa wakina Mdee na shogaake bulaya ....kuchangia jumla ya tsh milioni 12 ujenzi wa kanisa analosali Mbowe"!....

Huku ni kujikomba kulikopitiliza! Na hii imekuja wakati muafaka (KIMKAKATI ZAIDI)...

Na hawa wanatafuta sympathy(huruma) ya Mbowe+wanachadema kuelekea uchaguzi mkuu!...

Na Hakuna kingine!!

Sisi sio watoto!... Wamesoma Alama za nyakati! Kuendana mdundo wa 2024-2025!

They know how&when to play it right!
You may be right or wrong
 
Kinyongo kwani waliwahi kukwambia wana chuki au ugomvi wowote?.Hizi akili ndogo ndogo zakugeuza siasa uadui jitahidi zikupungue.
 
Mahakama ilishatamka kuwa tulishawatimua.
Sasa kwa nini amewaalika kama wabunge?
View attachment 2859046
Anayetambua mtu kua mbunge ni bunge kupitia tume ya uchaguzi.Mbowe ana mmlaka gani kutomtambua mtu kua mbunge wakati bunge linamtambua kama mbunge.Hawatatambulika sio wabunge baada yakutolewa taarifa rasmi ya bunge na tume ya uchaguzi.Chama kimewavua uanachama sio ubunge.Punguza ujinga.
 
Utajumlisha na kutangaza mabasha yako kwenye makorido ya lumumba.
Ukienda mahakamani kupinga ubunge wa mtu, majaji ni wa kwetu, nakukumbusha tu matokeo ya rais hayapingwo mahakamani
 
Kwani wamekosana nini cha kuwafanya washishirikiane mpaka kwenye kazi ya Mungu?.
Hayo majitu yana utindio wa ubongo.Mada zingine zinaanzishwa ukiziangalia unaona jinsi akili zao zilivyo ndogo.
 
Kwamba mialiko ya Kanisa la KKKT anaitoa Mbowe ! kwamba yeye ndiye Askofu wa Kanisa hilo au mimi sijaelewa ?
Mkuu Mbowe ni mtu muhimu sana hapo kanisani. Hata fedha alizotoa rais Samia ni kwa sababu ya Mbowe. Ila mimi namwelewa Mbowe na sitamlamu. Miaka yake yote kwenye upinzani amekuwa jasiri na amejitolea kuleta mabadiliko. Lakini watu anaojaribu kuwaongoza wao wamelala fofofo kiasi ambacho pale alipokamatwa bila sababu na kuwekwa rumande kwa muda mrefu raia walikuwa kimya. Waliojaribu kumpigania ni watu wasio raia wa Tanzania i.e. mabalozi wa nchi mbali mbali. Hawa walihudhuria kesi yake kwa muda wote huku sisi raia tukiwa tunabishana juu ya Simba na Yanga.
 
Wachaga huwa hawakatai pesa
Umesema kweli kabisa. Makabila mengine yote hayataki fedha bali ni wachaga tu ndiyo wanapenda. Makabila mengine yote hata wakiokota fedha njiani hawachukui. Kwenye ufisadi kabisaa hawahusiki. Kwa kifupi ni watakatifu wanachukuliwa fedha kama laana ya dunia.
 
Frankly speaking!!!

Hawa wakina Mdee na shogaake bulaya ....kuchangia jumla ya tsh milioni 12 ujenzi wa kanisa analosali Mbowe"!....

Huku ni kujikomba kulikopitiliza! Na hii imekuja wakati muafaka (KIMKAKATI ZAIDI)...

Na hawa wanatafuta sympathy(huruma) ya Mbowe+wanachadema kuelekea uchaguzi mkuu!...

Na Hakuna kingine!!

Sisi sio watoto!... Wamesoma Alama za nyakati! Kuendana mdundo wa 2024-2025!

They know how&when to play it right!
Kuna msemo wa kabila letu: mwenye kilago hakosi mahali pa kulala. Mdee kisiasa aliishajijenga tangu zamani, anao mtaji hivyo yeye ni asset akiamua kugombea ubunge kwa tiketi ya chama chochote atakaribishwa na anaweza kushinda hivyo hahiitaji sana CHADEMA kama unavyodhani.

Siasa sio uhasama kama baadhi yenu mnavyolazimisha humu; matukio ya kijamii watu wasialikane kisa wamekosana kisiasa? Mtasubiri sana nyie wajuaji wa key board.

Mbowe pia anaangalia mwaka 2025 uchaguzi wa ubunge Hai, kwa kufanikisha ujenzi wa kanisa kwa kuingiza zaidi ya sh milioni 200 ni mtaji tosha hakuna mwana KKKT atakayemnyima kura na sio vibaya kucheza karata kwa mahesabu. Pia itatengeneza bond na chama tawala ambapo wanaweza kumuachia jimbo kirahisi. Akienda bungeni atakuwa kiongozi wa upinzani matupurupu kibao na heshima juu.
Nyinyi kalieni uadui wa maneno wakati hamuwezi fanya kitu, siasa ni reconcilliation na compromise.
 
Back
Top Bottom