Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwa mwenye akili timamu ni lazima kuwa ndani ya ccm na si vinginevyo .Aliyekuwa Mbunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kada wa chama hicho Ester Bulaya amerejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kutangaza nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara kupitia CCM.
Bulaya ambaye alijizolea umaarufu mkubwa kupitia CHADEMA amesema alikuwa ndani ya chama hicho kwa mkopo na sasa anarejea nyumbani na kwamba furaha yake ni kuwatumikia wananchi akiwa ndani ya CCM, ambayo ameitaja kama chama chenye dira, maono na dhima ya kweli ya kuwatumikia wananchi.
Esther Bulaya ni miongoni mwa wabunge 19 wa Viti Maalumu wa CHADEMA ambao chama hicho kilitangaza kuwavua uanachama, lakini walisalia bungeni hadi kuhitimishwa kwa Bunge la 12 kwa amri ya mahakama.
hapo kwenye "AKILI TIMAMU" kuna vitu vingi sana vinajumuishwa na inategemea ntu na ntu..Kwa mwenye akili timamu ni lazima kuwa ndani ya ccm na si vinginevyo .
Kuna jangili wa kumzidi Lema?CHADEMA ilijaa majangili tupu, asante sn Lisu
Umetumwa?Kuna jangili wa kumzidi Lema?
😂😂😂😂😂😂😂. Eddo kumwembe unaona SASA hujuaji WAko WA kuquote na kuwafanya akina Pele maprofesa ulivyotuponza.Aliyekuwa Mbunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kada wa chama hicho Ester Bulaya amerejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kutangaza nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara kupitia CCM.
Bulaya ambaye alijizolea umaarufu mkubwa kupitia CHADEMA amesema alikuwa ndani ya chama hicho kwa mkopo na sasa anarejea nyumbani na kwamba furaha yake ni kuwatumikia wananchi akiwa ndani ya CCM, ambayo ameitaja kama chama chenye dira, maono na dhima ya kweli ya kuwatumikia wananchi.
Soma, Pia: Ester Bulaya aliyekuwa CHADEMA atimkia CCM, achukua fomu ya Ubunge Bunda Mjini
Ester Bulaya ni miongoni mwa wabunge 19 wa Viti Maalumu wa CHADEMA ambao chama hicho kilitangaza kuwavua uanachama, lakini walisalia bungeni hadi kuhitimishwa kwa Bunge la 12 kwa amri ya mahakama.
Hana hata aibuHana lugha nyingine, ni lazima aseme hivyo.
Lakina atavuna alichopanda
We kiherehere unatakaje ye ndio kasema. Tuliza makalio sikiliza anachosema ndio ukweli wake.Aliyekuwa Mbunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kada wa chama hicho Ester Bulaya amerejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kutangaza nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara kupitia CCM.
Bulaya ambaye alijizolea umaarufu mkubwa kupitia CHADEMA amesema alikuwa ndani ya chama hicho kwa mkopo na sasa anarejea nyumbani na kwamba furaha yake ni kuwatumikia wananchi akiwa ndani ya CCM, ambayo ameitaja kama chama chenye dira, maono na dhima ya kweli ya kuwatumikia wananchi.
Soma, Pia: Ester Bulaya aliyekuwa CHADEMA atimkia CCM, achukua fomu ya Ubunge Bunda Mjini
Ester Bulaya ni miongoni mwa wabunge 19 wa Viti Maalumu wa CHADEMA ambao chama hicho kilitangaza kuwavua uanachama, lakini walisalia bungeni hadi kuhitimishwa kwa Bunge la 12 kwa amri ya mahakama.
Huyu hana njaa kawa mbunge miaka 15Njaa Kali naombeni picha yake simjui
Hawezi kuwa na njaa kuliko wewe, kila mtu apambanie ligi yake ya maisha kwa njia anayoona inafaaNjaa Kali naombeni picha yake simjui
We una kadi ya CCM? CCM ikishampitisha hakuna wa kumshinda uchaguzi mkuuHata apngee vipi bunda lazima tumule kichwa
Umesema ukweliKuna jangili wa kumzidi Lema?
Ameongea vizuri sana. Ameeleza kuwa hajawahi kuwa mwanachama muaminifu wa Chadema. Sasa hivi mabaya na mazuri yote ya chama chake yatakuwa ya kwake. Swali lililobaki ni je rafiki yake Halima Mdee alikuwa anajua kuwa Esther Bulaya ni mole?Aliyekuwa Mbunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kada wa chama hicho Ester Bulaya amerejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kutangaza nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara kupitia CCM.
Bulaya ambaye alijizolea umaarufu mkubwa kupitia CHADEMA amesema alikuwa ndani ya chama hicho kwa mkopo na sasa anarejea nyumbani na kwamba furaha yake ni kuwatumikia wananchi akiwa ndani ya CCM, ambayo ameitaja kama chama chenye dira, maono na dhima ya kweli ya kuwatumikia wananchi.
Soma, Pia: Ester Bulaya aliyekuwa CHADEMA atimkia CCM, achukua fomu ya Ubunge Bunda Mjini
Ester Bulaya ni miongoni mwa wabunge 19 wa Viti Maalumu wa CHADEMA ambao chama hicho kilitangaza kuwavua uanachama, lakini walisalia bungeni hadi kuhitimishwa kwa Bunge la 12 kwa amri ya mahakama.
Sijakutuma unijibu tuliza kiherehere,Hawezi kuwa na njaa kuliko wewe, kila mtu apambanie ligi yake ya maisha kwa njia anayoona inafaa