GE2025 Ester Bulaya: Nilikuwa CHADEMA kwa mkopo, nimerejea nyumbani CCM

GE2025 Ester Bulaya: Nilikuwa CHADEMA kwa mkopo, nimerejea nyumbani CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nimemsikiliza Esther kwa makini sana,
Kwa style hii nitakuwa mtu wa mwisho kumuamini mwanasiasa,
Vijana msiwaamini hawa watu wenye ndimi mbili mbili,fanyeni kazi mpeleke maisha yenu mbele
Ukombozi wa hii Nchi bado sana kama wanasiasa wenyewe wa upinzani ndio hawa
 
Aliyekuwa mbunge wa Viti Maalumu, Ester Bulaya amechukua fomu ya kugombea Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Akizungumza Juni 30, 2025 mara baada ya kuchukua fomu kwenye ofisi za Chama hicho Bunda Mjini, Bulaya amedai kuwa alikuwa CHADEMA kwa mkopo na sasa amerejea rasmi CCM kuendeleza mapambano.

Itakumbukwa Bulaya aliwahi kuwa mbunge wa viti maalumu (CCM) mwaka 2010 hadi 2015 kabla ya mwaka 2015 kuhamia Chadema ambapo aliwania ubunge wa Bunda Mjini na kumshinda mwanasiasa mkongwe Stephen Wasira.

Novemba 2020 akiwa na wenzake 18 akiwemo Halima Mdee walingia katika mgogoro na Chadema baada ya kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalumu pasipo kuruhusiwa na chama hicho kikuu cha upinzani hali iliyopelekea chama hicho kuwatuhumu kama wasaliti.

Hii ni laana yaani umekula Kodi zetu za Giza miaka mitano 🚮
 
Bulaya ambaye alijizolea umaarufu mkubwa kupitia CHADEMA amesema alikuwa ndani ya chama hicho kwa mkopo na sasa anarejea nyumbani na kwamba furaha yake ni kuwatumikia wananchi akiwa ndani ya CCM, ambayo ameitaja kama chama chenye dira, maono na dhima ya kweli ya kuwatumikia wananchi.
Huyu naye ni malaya kama yule wa Salum Mwalim
 
Back
Top Bottom