dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Nani atakusikiliza na hizi porojo zako wewe ? endeleeni kutunga uchafu mtalipishwa tu muda si mrefuUHALISIA TARIME: MLINZI WA ESTHER MATIKO ALIYEKAMATWA NI JAMBAZI SUGU AMBAYE AMEKUWA AKITAFUTWA NA POLISI SIKU NYINGI.
- Alikamatwa akiwa na Esther Matiko katika Hotel ya Blue Sky – Tarime.
- Esther alijaribu kuzuia Polisi kumkamata muhalifu, kwa kisingizio ni Mlinzi wake.
- Wasingizia amekamatwa katika ofisi yao wakati kakamatwa Hotelini.
- Sababu ya hali yao kuwa mbaya waamua kutumia majambazi ili kutengeneza kikosi cha kudhuru wana CCM.
- Jambazi mmoja anayemiliki bunduki mbili kiharamu wamefanikiwa kumtorosha lakini Jeshi la Polisi linaendelea kumsaka.
Na: Deo Meck, Tarime Mjini.
Tukio la kukamatwa kwa mtuhumiwa wa ujambazi jana tarehe 14/10/2020, katika Hotel ya Blue Sky katika mji wa Tarime limegeuzwa kuwa propaganda ya kutafuta kura za huruma kwa Chadema katika Jimbo la Tarime Mjini.
Mtuhumiwa huyo wa ujambazi ambaye ni mmoja wa walinzi wa Esther ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitafutwa na Jeshi la Polisi alikamatwa baada ya raia wema kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi kuhusu mahali alipo.
Polisi walifika katika Hotel ya Blue Sky, na ukiona katika video wanayosambaza Esther alikuwa na Walinzi wengi ila huyo mmoja ndio alijaribu kukimbia na Polisi kumfukuza na kumkamata ndani ya Hotel hiyo.
Esther amejaribu kulialia kuwa wao wanaonewa sababu ya jambazi huyo kukamatwa, na alijaribu kutumia nguvu kuwazuia Polisi kufanya kazi yake ili baadae aje kulalamika anaonewa.
Kama mtu sio muhalifu kwa nini akimbie mara awaonapo Polisi? Mbona alikuwa na walinzi wengi na aliyekamatwa ni mmoja peke yake? Sababu ni kuwa wao wameamua kutumia wahalifu kwani wana uzoefu wa kudhuru watu.
Hata wiki iliyopita Polisi walikamata wahalifu wengine anaowatumia John Heche kama kikosi kazi cha kudhuru wana CCM, ambapo tayari walikuwa wametekeleza tukio la kumkata mapanga kijana mmoja wa CCM alipokuwa anatoka kwenye mkutano wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi.
Hivyo tunawashauri Chadema kwanza wakubaliane na hali kuwa mwaka huu hawana chao katika majimbo ya Tarime, pili wajiepushe na uhalifu ili kuutumia kutafuta kura za huruma, wameingia kwenye ushindani wakubali kuna kushinda na kushindwa. N a uhalifu hauna Chama, hata ukiwa mwanachama wa CCM ukafanya uhalifu utakamatwa tu. Kuwa Upinzani sio kinga dhidi ya uhalifu. Hakuna Chama chenye malaika pekee, hivyo wajiepushe na propaganda mfu, sisi tutakuwa tunazijibu na kuwaumbua, OVA.
Wee acha upumbavu. Tazama video hii!Mkuu, hivi alietiwa dole, tena kiongozi wa upinzani aache kulalamika hadi uje ulalamike wewe? kweli? hii ni ajabu coz hata Ester alimuangalia tu askari na kuendelea kuhoji. Kama angekuwa katiwa dole, pale pangechimbika. Matiko asingekubali kiboya vile. mi nina imani matiko alielewa kuwa ilikuwa bahati mbaya tena kuna uwezekano alimgusa sehemu ambayo sio unafikiria wewe. We unafanya masihara na dole? Tena publically, acheni masihara yenu nyie.
Labda uniambie ni demu wako huyo sasa unaona wivu.
Hata mimi sipendi mwanamke adhalilishe, ila kwa reaction aliyoonyesha matiko, ndio inanipa shida kuamini.
Inawezekana jirani zako hawana Tv kwasababu ungekua unaenda kuchungulia majeshi inchi zingine hawana hamu yakula kwasababu yanini.Shida haujuwi ratio ya asikari kwa raia ni ipi....Man up.Mkuu kiongozi wenu amesema atawaamuru manyumbu wake muingie barabarani. Tunasubiri kwa hamu kuona huo mtanange
Tulisema tangu awali kwamba CCM bila polisi ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
View attachment 1600019
Huu ni mpango ,yeyote ambaye atakuwa kikwazo kwa ajili ya wao kutofanikisha mpango wao . aidha anasingiziwa ana silaha , jambazi sugu , alihusika katika mauaji fulani , alikwepa kodi , alitakatisha pesa , wahamiaji haramu , .hii bado imekaa kishabiki sana mkuu. Maana unaonekana kabisa wewe ni kada wa kijani. Tunaomba taarifa rasmi ya polisi na sio maneno yako. Tunapenda sana kujua nini kilitokea kablabya kukimbizwa huyo mtu.
kama huyo jamaa angekua sio jambazi asingewakimbia polisi yani kiuhalisia huyo ni muhalifu halafu unaeleta taarifa hii hapa nawe ni Muhalifu Pia maana unasema polisi wamemkamata na kumpeleka kusiko julikana kwani polisi wakimkamata muhalifu wana mpeleka wapi tofauti na kituo cha polisi? acheni ujinga kulaumu kwenu na kulalamika kwenu sio sababu ya nyie kufanya uhalifu na mkaachwa.Erythrocyte Easter Matiku si yuko hospitalini amelazwa baada ya kupigwa na askari wa kiume? Kapona lini na kurejea nyumbani? au hili ni tukio la siku nyingi?
Hapa hizi uniform ndio zinatambulisha kuwa hawa ni Askari Polisi ,kitendo na namna ya ukamataji wake hakitofautiani na Makundi ya kihalifu pale wanapo kwenda kumteka Mtu.
Jamaa wame mkamata kibabe sana, Wapinzani tuna dharauliwa sana; sidhani kama wanaweza kufanya hivi kwa upande wa CCM.
Shame Police
Afende hezron magoti mimi siyo mleta taarifa usiniandikie RB tafadhalikama huyo jamaa angekua sio jambazi asingewakimbia polisi yani kiuhalisia huyo ni muhalifu halafu unaeleta taarifa hii hapa nawe ni Muhalifu Pia maana unasema polisi wamemkamata na kumpeleka kusiko julikana kwani polisi wakimkamata muhalifu wana mpeleka wapi tofauti na kituo cha polisi? acheni ujinga kulaumu kwenu na kulalamika kwenu sio sababu ya nyie kufanya uhalifu na mkaachwa.
Ile ni tabia binafsi ya yule Askari mbaguzi,lkn still wako professional kuliko Hawa makadawale walipigwa risasi hadi kuzusha vurugu ilikuwa mwaka gani? George aliyekandamizwa ardhini na goti? au unajitoa ufahamu mkuu.
Ndio.Walimwambia bora ya mkoloni sio?
Kwa hiyo nyumbani kwa Matiko Ni kambi la majambazi?! Utakuwa una utapiamlo wa ubongo wewe unatutafutia bann za kishenzi Kama ilivyo akili yako. Kwani Ukiwa CCM Ni Lazima ujitoe ufahamu?! Mimi Ni mwanachama hai wa CCM na sioni sababu ya kurudisha kadi Ila tarehe 28 nitawachinja kuanzia ngazi ya kata Hadi taifa.kama huyo jamaa angekua sio jambazi asingewakimbia polisi yani kiuhalisia huyo ni muhalifu halafu unaeleta taarifa hii hapa nawe ni Muhalifu Pia maana unasema polisi wamemkamata na kumpeleka kusiko julikana kwani polisi wakimkamata muhalifu wana mpeleka wapi tofauti na kituo cha polisi? acheni ujinga kulaumu kwenu na kulalamika kwenu sio sababu ya nyie kufanya uhalifu na mkaachwa.
Thus Lisu anakufundisheni sheria mnazoshindwa kuzitafsiri,we ni mgeni wa wapinzani kubambikwa kesi kila ukaribiapo uchaguzi,we uoni ni Kama mlengwa pale ni matiko thus wamemprovoke kwa kumpiga dole ili a react wampe kesi amepigana na police ili akose ubunge.Hii michezo ukiwa mtoto utoielewa.Sababu anajua mitego yao hakureact na angereact angepewa kesi.kama huyo jamaa angekua sio jambazi asingewakimbia polisi yani kiuhalisia huyo ni muhalifu halafu unaeleta taarifa hii hapa nawe ni Muhalifu Pia maana unasema polisi wamemkamata na kumpeleka kusiko julikana kwani polisi wakimkamata muhalifu wana mpeleka wapi tofauti na kituo cha polisi? acheni ujinga kulaumu kwenu na kulalamika kwenu sio sababu ya nyie kufanya uhalifu na mkaachwa.
Imeniuma Sana😢😥Hapana hili haliwezi kuachwa hivi hivi!
KabisaaMimi ningekufa au ningeua .
Tatizo lenu ndio hili, huyo kakimbizwa kutoka nje, hao wengine wote hawajaguswa wamemfuata yeye tu, hapo ni lazima kuna kitu kafanya na ndio maana amekimbilia ndani.Sidhani na sifikiri hivyo Kama wewe! Angeambiwa kosa au tuhuma zake kistaarabu asingekataa kwenda kituoni na inavyoonekana hakuambiwa lolote na au alishatishiwa kukamatwa ili kumkomboa ndio maana alikuwa anajihami! Polisi wetu wanakosa ustaarabu wa kuarrest kwani hawakuambii tuhuma au kosa lako!