Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Hawa wapuuzi hawajui kuwa hata Marekani uki resist arrest ni kosa tena unaweza ukafa. Wanajifanya wanaijua amerika kushinda wengine humu. Waulizeni wale watu weusi huko ndio wata waeleza.
Hatasema jamaa kwanini amekimbia zaidi ya kutukana na kueneza uongo.
Kule ukamatwi hovyo hovyo unaambiwa unakamatiwa nn,Kama huna silaha na si hatarishi kwao kwann huwezi pigwa risasi
 
mbona una ruka ruka tu, tunaomba utuambie kama anavyouliza Matiko, kuna shida gani? mbona jamaa kakimbia.
Ingekuwa Marekani huyu ashapigwa risasi kwa ku resist arrest.
Taratibu za kuarrest zinajulikana,yaani we watu wavamie tu nyumba yako bila kujitambulisha wakukwapue tu nawe utulie je Kama sio wasiojulikana je Mara ngapi wasiojulikana wamekwapua watu kwa police style na wakapotea Hadi leo
 
Nini kilitokea huko nje kabla jamaa hajakimbilia ndani? Kama hakuwa na tatizo nao kwanini katoka nduki kukimbilia ndani, mbona huyo mwingine kasimama kama roboti na hawajamgusa? ,iko shida mahali...

Atakaye kujibu hili swali, inbox me
 
Taratibu za kuarrest zinajulikana,yaani we watu wavamie tu nyumba yako bila kujitambulisha wakukwapue tu nawe utulie je Kama sio wasiojulikana je Mara ngapi wasiojulikana wamekwapua watu kwa police style na wakapotea Hadi leo

Kakimbia kutoka nje huyo we mburura na sio nyumba yake hiyo
 
Kule ukamatwi hovyo hovyo unaambiwa unakamatiwa nn,Kama huna silaha na si hatarishi kwao kwann huwezi pigwa risasi

Alikuwa anakimbia huyo...anajua kafanya nini😂😂😂😂😂😂 au mlikuwa wote?
 
UHALISIA TARIME: MLINZI WA ESTHER MATIKO ALIYEKAMATWA NI JAMBAZI SUGU AMBAYE AMEKUWA AKITAFUTWA NA POLISI SIKU NYINGI.

  • Alikamatwa akiwa na Esther Matiko katika Hotel ya Blue Sky – Tarime.
  • Esther alijaribu kuzuia Polisi kumkamata muhalifu, kwa kisingizio ni Mlinzi wake.
  • Wasingizia amekamatwa katika ofisi yao wakati kakamatwa Hotelini.
  • Sababu ya hali yao kuwa mbaya waamua kutumia majambazi ili kutengeneza kikosi cha kudhuru wana CCM.
  • Jambazi mmoja anayemiliki bunduki mbili kiharamu wamefanikiwa kumtorosha lakini Jeshi la Polisi linaendelea kumsaka.

Na: Deo Meck, Tarime Mjini.

Tukio la kukamatwa kwa mtuhumiwa wa ujambazi jana tarehe 14/10/2020, katika Hotel ya Blue Sky katika mji wa Tarime limegeuzwa kuwa propaganda ya kutafuta kura za huruma kwa Chadema katika Jimbo la Tarime Mjini.

Mtuhumiwa huyo wa ujambazi ambaye ni mmoja wa walinzi wa Esther ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitafutwa na Jeshi la Polisi alikamatwa baada ya raia wema kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi kuhusu mahali alipo.

Polisi walifika katika Hotel ya Blue Sky, na ukiona katika video wanayosambaza Esther alikuwa na Walinzi wengi ila huyo mmoja ndio alijaribu kukimbia na Polisi kumfukuza na kumkamata ndani ya Hotel hiyo.

Esther amejaribu kulialia kuwa wao wanaonewa sababu ya jambazi huyo kukamatwa, na alijaribu kutumia nguvu kuwazuia Polisi kufanya kazi yake ili baadae aje kulalamika anaonewa.

Kama mtu sio muhalifu kwa nini akimbie mara awaonapo Polisi? Mbona alikuwa na walinzi wengi na aliyekamatwa ni mmoja peke yake? Sababu ni kuwa wao wameamua kutumia wahalifu kwani wana uzoefu wa kudhuru watu.

Hata wiki iliyopita Polisi walikamata wahalifu wengine anaowatumia John Heche kama kikosi kazi cha kudhuru wana CCM, ambapo tayari walikuwa wametekeleza tukio la kumkata mapanga kijana mmoja wa CCM alipokuwa anatoka kwenye mkutano wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi.

Hivyo tunawashauri Chadema kwanza wakubaliane na hali kuwa mwaka huu hawana chao katika majimbo ya Tarime, pili wajiepushe na uhalifu ili kuutumia kutafuta kura za huruma, wameingia kwenye ushindani wakubali kuna kushinda na kushindwa. N a uhalifu hauna Chama, hata ukiwa mwanachama wa CCM ukafanya uhalifu utakamatwa tu. Kuwa Upinzani sio kinga dhidi ya uhalifu. Hakuna Chama chenye malaika pekee, hivyo wajiepushe na propaganda mfu, sisi tutakuwa tunazijibu na kuwaumbua, OVA.
 
Tulisema tangu awali kwamba CCM bila polisi ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa

View attachment 1600019

Hii bado hujajibu kile kilichotokea kabla ya tukio. Shida ilikuwa nini?
Mbona hujaweka video inayoonyesha kuwa taratibu hazikufuatwa? badala yake mnaweka video za kutaka kuonewa huruma.
Shida ilikuwa ni nini? swali jepesi hili.
 
Vipi Kama mama yako ndo amepigwa dola hivo in public utajisikiaje

Sidhan kama mama yako ana akili za kijinga kama matiko

Kaingilia kiti hausiki

Angeacha kila kiti kiendelee na aende polisi

Polisi wana namba zao, ni mchana namba ya gari inajulikana na wameruhusu hii clip ya video kuchukuliwa???? Lazima wana sababu

Sasa kama mama yako mjinga anaweza jiingiza hapo sawa
 
Wakilianzisha utasikia wanataka kutuchafulia amani yetu,mara wametumwa na mabeberu......ila kiuhalisia hawakupaswa kumbeba hvyo maana wamekosa utu kulikuwa na haja hata ya kumsikiliza hoja zake then wakakubaliana na utaratibu ukafuatwa...

Amani hii tunayoichezea ipo siku itatoweka na tutaishi maisha ya digi digi kwa kuranda randa....kaa utambue uvumilivu wa mwanadamu una kikomo chake.
Mkuu kiongozi wenu amesema atawaamuru manyumbu wake muingie barabarani. Tunasubiri kwa hamu kuona huo mtanange
 
UHALISIA TARIME: MLINZI WA ESTHER MATIKO ALIYEKAMATWA NI JAMBAZI SUGU AMBAYE AMEKUWA AKITAFUTWA NA POLISI SIKU NYINGI.

  • Alikamatwa akiwa na Esther Matiko katika Hotel ya Blue Sky – Tarime.
  • Esther alijaribu kuzuia Polisi kumkamata muhalifu, kwa kisingizio ni Mlinzi wake.
  • Wasingizia amekamatwa katika ofisi yao wakati kakamatwa Hotelini.
  • Sababu ya hali yao kuwa mbaya waamua kutumia majambazi ili kutengeneza kikosi cha kudhuru wana CCM.
  • Jambazi mmoja anayemiliki bunduki mbili kiharamu wamefanikiwa kumtorosha lakini Jeshi la Polisi linaendelea kumsaka.

Na: Deo Meck, Tarime Mjini.

Tukio la kukamatwa kwa mtuhumiwa wa ujambazi jana tarehe 14/10/2020, katika Hotel ya Blue Sky katika mji wa Tarime limegeuzwa kuwa propaganda ya kutafuta kura za huruma kwa Chadema katika Jimbo la Tarime Mjini.

Mtuhumiwa huyo wa ujambazi ambaye ni mmoja wa walinzi wa Esther ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitafutwa na Jeshi la Polisi alikamatwa baada ya raia wema kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi kuhusu mahali alipo.

Polisi walifika katika Hotel ya Blue Sky, na ukiona katika video wanayosambaza Esther alikuwa na Walinzi wengi ila huyo mmoja ndio alijaribu kukimbia na Polisi kumfukuza na kumkamata ndani ya Hotel hiyo.

Esther amejaribu kulialia kuwa wao wanaonewa sababu ya jambazi huyo kukamatwa, na alijaribu kutumia nguvu kuwazuia Polisi kufanya kazi yake ili baadae aje kulalamika anaonewa.

Kama mtu sio muhalifu kwa nini akimbie mara awaonapo Polisi? Mbona alikuwa na walinzi wengi na aliyekamatwa ni mmoja peke yake? Sababu ni kuwa wao wameamua kutumia wahalifu kwani wana uzoefu wa kudhuru watu.

Hata wiki iliyopita Polisi walikamata wahalifu wengine anaowatumia John Heche kama kikosi kazi cha kudhuru wana CCM, ambapo tayari walikuwa wametekeleza tukio la kumkata mapanga kijana mmoja wa CCM alipokuwa anatoka kwenye mkutano wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi.

Hivyo tunawashauri Chadema kwanza wakubaliane na hali kuwa mwaka huu hawana chao katika majimbo ya Tarime, pili wajiepushe na uhalifu ili kuutumia kutafuta kura za huruma, wameingia kwenye ushindani wakubali kuna kushinda na kushindwa. N a uhalifu hauna Chama, hata ukiwa mwanachama wa CCM ukafanya uhalifu utakamatwa tu. Kuwa Upinzani sio kinga dhidi ya uhalifu. Hakuna Chama chenye malaika pekee, hivyo wajiepushe na propaganda mfu, sisi tutakuwa tunazijibu na kuwaumbua, OVA.
hii bado imekaa kishabiki sana mkuu. Maana unaonekana kabisa wewe ni kada wa kijani. Tunaomba taarifa rasmi ya polisi na sio maneno yako. Tunapenda sana kujua nini kilitokea kablabya kukimbizwa huyo mtu.
 
Kule ukamatwi hovyo hovyo unaambiwa unakamatiwa nn,Kama huna silaha na si hatarishi kwao kwann huwezi pigwa risasi
wale walipigwa risasi hadi kuzusha vurugu ilikuwa mwaka gani? George aliyekandamizwa ardhini na goti? au unajitoa ufahamu mkuu.
 
Yaani hawa polisi wataacha watu wakapige kura za hasira,kura za huruma na kura za kulipa visasi dhidi ya uonevu

HII HAIJAKAA VIZURI,NCHI HII NI YETU SOTE
 
video ulioiona wewe ni tofauti na iliyowekwa humu? km ni hii, propaganda yako imebuma maana hata matiko jalalamika hilo tukio. Ni upumbavu kutafuta sifa za kijinga. Unaweza tuambia hapo matiko kadalilishwa wapi? au ni kitendo ganinhuyo polisi kafanya?
Ndugu yangu, kwa kuwa hunifahamu, nitakusamehe kwa kudhani niko JF kutafuta sifa za namna yoyote ile. Ustaarabu ni uungwana.
Angalia sekunde ya 19 mpaka 21, utaona kitendo ninachokizungumzia. Kama kwa kitendo hicho cha kihuni ni sawa kwako, kwa sababu yoyote ile, endelea tu na maisha yako.
 
Mlinzi kakimbia,kamkimbilia kwa bosiwake amtetee mlinzi gani sasa.
 
Ndugu yangu, kwa kuwa hunifahamu, nitakusamehe kwa kudhani niko JF kutafuta sifa za namna yoyote ile. Ustaarabu ni uungwana.
Angalia sekunde ya 19 mpaka 21, utaona kitendo ninachokizungumzia. Kama kwa kitendo hicho cha kihuni ni sawa kwako, kwa sababu yoyote ile, endelea tu na maisha yako.
Mkuu, hivi alietiwa dole, tena kiongozi wa upinzani aache kulalamika hadi uje ulalamike wewe? kweli? hii ni ajabu coz hata Ester alimuangalia tu askari na kuendelea kuhoji.

Kama angekuwa katiwa dole, pale pangechimbika. Matiko asingekubali kiboya vile. mi nina imani matiko alielewa kuwa ilikuwa bahati mbaya tena kuna uwezekano alimgusa sehemu ambayo sio unafikiria wewe. We unafanya masihara na dole? Tena publically, acheni masihara yenu nyie.

Labda uniambie ni demu wako huyo sasa unaona wivu.

Hata mimi sipendi mwanamke adhalilishe, ila kwa reaction aliyoonyesha matiko, ndio inanipa shida kuamini.
 
Hakuna polisi inayoingia bila kibali wala nini ni baada ya kukaataa kwenda nao ndio inakuwa hivyo
 
Back
Top Bottom