mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Unaonaje Jeshi la Polisi wakati huu wa kampeni liende likizo kwa siku moja tu kila mtu afanye analotaka?Tukitwaa madaraka kitu cha kwanza ni kulivunja jeshi la Polisi na kulijenga upya ili lisiwe linatutumikia sisi Wanasiasa
Polisi lazima wawe na weledi katika kazi zao Tunataka jeshi la Polisi ambao halitatumiwa na kiongozi yeyote wa Chadema
Tunataka Polisi ambao rushwa kwao ni mwiko