Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Tukitwaa madaraka kitu cha kwanza ni kulivunja jeshi la Polisi na kulijenga upya ili lisiwe linatutumikia sisi Wanasiasa

Polisi lazima wawe na weledi katika kazi zao Tunataka jeshi la Polisi ambao halitatumiwa na kiongozi yeyote wa Chadema

Tunataka Polisi ambao rushwa kwao ni mwiko
Unaonaje Jeshi la Polisi wakati huu wa kampeni liende likizo kwa siku moja tu kila mtu afanye analotaka?
 
Hii imesikitisha sana watu wote. Hawa polisi wanafikiri kwa kutumia kitu gani? Sirro anayaona haya na anakaa kimya?
 
Tuendelee kurekodi matukio haya kwa kuonyesha sura zao dunia yote ione. Hiyo ndiyo dawa yao hawa.
 
Wewe wala sitakujibu maana huna unachokijua , Dotto Rangi moto alichukuliwa na mabunduki mengi kuliko hata haya ya Tarime , lakini umefuatilia kesi aliyopewa ? kashitakiwa kwa kumtumia hawara ake picha ya ngono !
Umesha ni jibu tayari japo ujajibu swali nililo uliza , Punguza mihemko ya kisiasa twende Sawa mkuu
 
Sasa huyo askari wa Ester alikuwa anakimbia nini? Lazima atakuwa kafanya kitu huko nje, na kwanini alikuwa anakata kwenda kituoni, na huyo Ester mbona mzushi kwamba Polisi wanataka kumshuti wakati inaonekana kabisa wanataka kumkamata na zaidi ya hapo alikuwa yeye Ester anawazuia Polisi kufanya kazi yao halfu baadae atasema askari wakiume wamenishika ziwa, wani zalilisha n.k
Ndio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa?!
 
Hivi kweli katika nchi iliyostarabika na katika kipindi tata kama hiki askari mwenye nembo ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aweza kufanya hivi kwa RAIA?

Tena Mbunge mgombea wa jimbo la Tarime mjini anayeheshimika?
Hivi angeweza kumtendea hivi mgombea ubunge wa CCM mfano mgombea wa Tanga Mjini au Mchinga?

Kwa nini wa Tarime ? Na kwa nini sio IGP au msimamizi wa uchaguzi Tarime aliyezungumzia hili?

Hakika huyu askari ni wa kupeleka Mahakamani na kufukuza kazi kabisa.

 
Haya mambo tulikua tunaona kwenye video tu Sasa yanatoka hapa hapa Tanzania
Magufuli anatakiwa ajifunze
 

Attachments

  • IMG_20201015_054818.jpg
    IMG_20201015_054818.jpg
    100.9 KB · Views: 2
Hamna tatizo atapewa haki zake zote kwa mujibu wa katiba iliyopitishwa na Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Ndo katiba ya JMT inasema mtu kabla ya kusomewa mashitaka na kukubali akamatwe hvyo kwa vurugu eti?? Kama adi apo tayari hakuna haki unasemaje itafuatwa....
 
Ukimuoa polisi anaishi maisha magumu baada ya kustaafu usimuonee huruma huyo analipwa matendo yake mabaya aliyowatendea watu alipokuwa kazini. Uzitumia nafasi zao Kama sehemu ya kuumizia watu.
 
Huyo Ester naye mnafiki tu. Anajifanya kujiweka katikati ili abutuliwe na askari atafute cha kubwabwaja kwa mabeberu. Mkiambiwa kutii sheria bila shuruti hamuelewi au?
Unazani utaitetea CCM milele ni suala la mda tu.
 
Kwasababu wahusika hawatoi ushirikiano na polisi,hiyo ndio sababu ya kwanza,sababu ya pili walikuwa smart .hawakuacha track.....,sababu ya tatu hili tukio limefanywa kisiasa zaidi likimuhusisha mkuu wa nchi.sasa kama upinzani wanahisi fulani kahusika kwanini wasisaidie polisi?jamaa walimiss target lakini wapo smart.
Hakuna smart hapo wanalindwa tu
 
Back
Top Bottom