Erythrocyte Easter Matiku si yuko hospitalini amelazwa baada ya kupigwa na askari wa kiume? Kapona lini na kurejea nyumbani? au hili ni tukio la siku nyingi?Tulisema tangu awali kwamba bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
View attachment 1600019
Aliyelazwa ni mgombea wa Serengeti Catherine Ruge baada ya kupigwa na polisi kwa maelekezo ya ccm yanayosimamiwa na Simon SirroErythrocyte Easter Matiku si yuko hospitalini amelazwa baada ya kupigwa na askari wa kiume? Kapona lini na kurejea nyumbani? au hili ni tukio la siku nyingi?
Ahsante kwa ufafanuziAliyelazwa ni mgombea wa Serengeti Catherine Ruge baada ya kupigwa na polisi kwa maelekezo ya ccm yanayosimamiwa na Simon Sirro
Tulisema tangu awali kwamba bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
View attachment 1600019
Nenda kalalamike kwa Amsterdam.Uhuru anao hubiri John Pombe Joseph Magufuli ni upi?
nimelalamika nini sasa? Umeuliza na mimi nimekuuliza unaanza kujiashuaNenda kalalamike kwa Amsterdam.
Mimi mwenyewe nakutafuta na nikikumata kwanza nakuzaba vibao kadhaa kabla sijakufikisha kituoni.DWajaribu tu siku moja wanikamate hivyo mkono ntakaowatembezea
Mthithubutu kufanya ugaidiDawa yenu inachemka
Tulisema tangu awali kwamba bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
View attachment 1600019
Mjinga wewe hapo,hapo mpaka amekimbilia ndani maana yake ameshindwa kutii amri ya polisi,maana yake kagoma,kitendo cha kwenda ndani je angechukua silaha na kuwadhuru polisi,mimi nimekamatwa hata mara kumi inafika na sijawahi kupigwa,unavyotaka ndio hivyohivyo unafanyiwa.Acha ujinga wewe, kwaiyo kama iko shida mahali ndo akamatwe vile, kama jambazi kama sio mtanzania. Unafikiria kwa kutumia makalio nini?
Chadema waanze kulinda wagombea waoHawa wapuuzi waanze kupewa kichapo,siku nyingine watakuja kwa adabu,maana hawana tofauti na majambazi
Kama wameamua kuweka kando sheria basi wawe tayari kukabilana na madhara yake,
Tulisema tangu awali kwamba bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
View attachment 1600019
Anaweza akaachiwa,polisi wametumia nguvu kwasababu yeye pia ametaka watumie nguvu.Kama hawajamuua utasikia akifunguliwa kesi ya kusambaza picha za ngono mitandaoni , sasa linganisha na nguvu iliyotumika
Pentagon kitu gani bhana,hata sisi tuko na Ngome shida iko wapi!?Mwambieni Magufuli ASIWAJARIBU KABISA PENTAGON.
Pentagon wamekwisha kumuonya JIWE na hasikii, LUMUMBA mwambieni Mzee wenu PENTAGONI ni makao makuu ya ulinzi ya Jeshi la Marekani.
Think Tank haina mchezo. Atabiduliwa