Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,269
- 4,579
Erythrocyte Easter Matiku si yuko hospitalini amelazwa baada ya kupigwa na askari wa kiume? Kapona lini na kurejea nyumbani? au hili ni tukio la siku nyingi?Tulisema tangu awali kwamba bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
View attachment 1600019