Mkuu jaribu kufikiria nje ya Box kwenye orodha hiyo ya wabunge yumo mke wa John Mrema na mke wa Mwaalim, Ester Matiko sasa bado unaendelea kusumbua kichwa chako tuuu!!Kwa sisi tunaojua kuunga dot hili changa limetoka CCM ili kuidhalilisha chadema kupitia spika .NEC na jiwe
Yaan apo ata CHADEMA iwafukuze uanachama kaz bure tu watatetewa na spika katiba imeekwa kapuni nanukuu tu
"Mm ni kichaa ma ndio maana nimechagua vichaa wenzangu "
Ndiyo sababu kubwa ya kuchelewa kupeleka majina ya wabunge viti maalum , kila kiongozi alipeleka hawara Yake wakaanza kugombana, Mbowe akaona hawezi kuwakataa mishahara mahawara wa vigogo wenzake na Hadi leo kasusa yupo kimya Sasa.Esther ni mke wa Mwalimu hawezi kufukuzwa!
Hawaleti Sanaa za kisenge Bali wanawaona wasenge tuu.Haaa haaa ulipewa taarifa na katibu? Eti na mamlaka husika. Hizi sanaa za kisenge mnatuletea
Bora hawa wamebebwa kibabe kuliko kina waitara.Hawa ndiyo watakaofanya wanawake wasiaminiwe kuongoza Taasisi nyeti, maana wote hao ni very senior kwenye uongozi nini kimewapata? njaa ya hela? tamaa ya madaraka? au wameamua tu kukikomoa chama chao? kama hivyo ndiyo kukikomoa ili wapate nini? ukizingatia karibu wote hao walinyanyaswa vibaya mno na vyombo vya dola wakati wa kampeni.
Kwanza kabisa kama mnakumbuka walianza wale wabunge wa viti maalum wakasema Mbowe na viongozi wengine wa CDM amekuwa akiwabaka mfululizo kwa miaka 5, sasa unajiuliza mama zima la miaka 40 linabakwaje miaka 5 huku lenyewe likiwa linatunga sheria na lisiseme?
Sasa limekuja na hili tena.. aise.
Awali heading haikusomeka hivyo. Hiyo ni baada ya editing.Matiko amesema kama chama kikiona kuna mwingine anafaa basi yeye yupo tayari
Mimi hao wengine wote sina muda nao, nalia na Halima tu mimi.
Halima amekivunja chama kabisa, Halima tulimuamini na kumpa jeshi letu la wanawake na nilitegemea pasi na shaka Mbowe akistaafu uwenyekiti basi kama sio Lissu, Heche basi ni yeye!
I’m disappointed
Kwan hawa watu walishikiwa mtutu kwenda kuapa??Ameulizwa alitaarifiwa na Katibu? anatoa jibu la jumla akisema na mamlaka husika, hapa kuna kitu anaficha, probably anamaanisha hizo mamlaka ni Spika wa bunge.
Anazidi kuthibitisha jinsi walivyosukumwa na maamuzi yao binafsi bila kupata baraka za chama anavyoshindwa kujibu swali la "Katibu anasema watachukua hatua kali dhidi yao", anakimbilia kusema "watanzania wategemee makubwa toka kwao"
Huyu ndio kathibitisha kabisa hawa wanawake wanastahili kuitwa wasaliti, na yeye binafsi anaonekana alikuwa hajui lolote, kapigiwa simu tu njoo bungeni uje kuapishwa akaenda straight badala ya kwanza kuwauliza viongozi wake wa chama.
We dada ule udhalilishaji uliofanyiwa na wale mapolice umeukubali kwa kukisaliti chama kwa kulipwa ujira huu? Kweli dunia ina mambo!!
Huyu msomi wa SUA amejibu kisomi sana, sio kama madam polepole.Baada ya jana wabunge wa viti maalum kuapishwa, waandishi wa habari walifanikiwa kufanya mahojiano madogo na mbunge mmojawapo, Ester Matiko huku wengine wakigoma. Yafuatayo ni maswali kutoka kwa waandishi na majibu kutoka kwa Ester Matiko.
MWANDISHI: Mmepata baraka za Chama?
MATIKO: Nadhani wote tunajua taratibu za viti maalum mpaka kuweza kufika wabunge kuteuliwa, kuna utaratibu ambao unaendelea ndani ya chama kupitia wings mbalimbali na baadae chama kinabariki na majina yanaenda kwenye tume ya Taifa ya uchaguzi, binafsi nilitaarifiwa nimeteuliwa ndio maana nimefika hapa kuja kuapa.
MWANDISHI: Ulitaarifiwa na katibu?
MATIKO: Na mamlaka husika
MWANDISHI: Lakini katibu wa chama anasema hana taarifa na hilo na watachukua hatua kali dhidi yenu, hili unalizungumziaje?
MATIKO: Sijui zaidi ya hapo, kwa uchache wetu ambao tumekuja hapa, nipende tu kuwaambia watanzania, wategemee makubwa kwetu pamoja na kwamba tuko 19. Tunajua yote yaliyojiri kwenye uchaguzi mkuu ulioisha hadi tukapata hiki kidogo katika ushindi wetu mkubwa tuliokuwa nao.
MWANDISHI: Endapo chama kikiwafuta uanachama, mmejiandaa kuchukua hatua?
MATIKO: Tupo hapa kwa sababu ya chama kwa hiyo kikiona kuna mwingine anafaa zaidi ya Ester Matiko, niko tayari.
MWANDISHI: Awali msimamo wa chama chenu ilionekana haukubaliani kuweza nyie kushiriki hapa
MATIKO: Nadhani leo jukumu kubwa ni kuapa na tumetimiza hilo, yanayojiri mengine yote yanawezwa kuzungumzwa kwa wakati muafaka. Katika neno letu la shukrani tumesema dhahiri kabisa tunakishkuru chama cha demokrasia na maendeleo kututeua sisi watu 19 kukiwakilisha katika bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuweza kuwasemea watanzania na chama chetu sasa mengine kama yalijiri yakaenda yakarudi, yatazungumzwa kwa wakati muafaka. Asante.
MWANDISHI: Ndio kusema mmesalimu amri
MATIKO: Sio msemaji wa chama, mimi ni mbunge mteule, ASANTENI SANA.
Kunywa maji mwamba, unaijua siasa ya bongo?Kuwa na kawaida ya kuingiliwa kinyume na maumbile haijawahi kumuwacha mtu salama. Huyu dada pamoja pamoja na wenziwe Halima na Bulaya wamedhihirisha tabia zao wanazofanyiwa vyumbani
Hata Kuwafananisha na madada poa pia ni kuwakosea heshima madada poa.