Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Imekuwa too much kwa kweli. Viongozi wamekuwa watu wa kujipendekeza kupita kiasi. Ukiangalia hivyo vituo vya huduma kwa idadi hiyo 12,867 kama ni kweli imetokana na msaada wa hela ya UVIKO-19. Viongozi wanavyoongea ni kana kwamba hii ichi ilishawahi kutawaliwa na chama kingine cha siasa.Hii yote ni kujipendekeza tu?