Esther bulaya ‘amchanachana’ Waziri Mwigulu Nchemba mafao ya wastaafu

Esther bulaya ‘amchanachana’ Waziri Mwigulu Nchemba mafao ya wastaafu

wewe bwege kikokotoo kipya ilikua unapata annuity 33 kinachobaki ndio pensheni unapewa kwa miaka 15 pekee sio mpaka kufa. hayo yanaelezwa na pssf kwa wastaafu wenyewe
Uongo mjinga wewe pension unalipwa Mpaka ufe

Watu wakisema bunge limejaa wapumbavu hawatanii ujue

Katika wapumbavu wewe umo huko ndani ya bunge kuna wastaafu waliokuwa sekta ya umma au binafsi kisha wakaingia bungeni baada ya kustaafu si uwaulize mjinga wewe

Yaani hopeless kabisa toka lini monthly pension inakatika MTU mstaafu akiwa hai mjinga wewe
 
Mwisho ni miaka 12 labda wewe hujui Sheria inavyosema
Kwenye kundi la wapumbavu na wewe umo

Pension MTU analipwa ya kila mwezi hadi afe

Hivi kuna shida gani watu hata hamuulizi wastaafu au viongozi WA mifuko ya pension kujua ukweli

Shenzi type
 
We ni mbuzi....
Tatizo nadhani kuna baadhi ya wabunge wanaingia bungeni Kwa kujiuza na umalaya ndio maana hata michango inakuwa iko chini ya kiwango

Mstaafu pension ya mwezi analipwa maisha Yake yote hadi anaenda kaburini hakuna cha Miaka 12 wala 15
 
Mkuu umeulizwa ushahidi kwamba hiyo mifuko inalipa miaka yote mpaka mstaafu atakapokufa
weka ushahidi,acha porojo.
Kaulize wastaafu na viongozi WA mifuko ya pension kisha njoo hapa

Huo ndio ushahidi wangu
 
Uongo mjinga wewe pension unalipwa Mpaka ufe

Watu wakisema bunge limejaa wapumbavu hawatanii ujue

Katika wapumbavu wewe umo huko ndani ya bunge kuna wastaafu waliokuwa sekta ya umma au binafsi kisha wakaingia bungeni baada ya kustaafu si uwaulize mjinga wewe

Yaani hopeless kabisa toka lini monthly pension inakatika MTU mstaafu akiwa hai mjinga wewe
acha kuwinda pension ya baba yako kiazi. unaonyesha una uchungu nayo. serikali yako ya ukimani imeshakuamulia mwisho miaka 15 😂.
 
We ni mbuzi....
Tatizo bunge limevamiwa kuna baadhi ya wabunge ni machangudua WA kike na kiume wameingia bungeni kupitia uchangudoa ndio maana unakuta wanasema ohhh pension ya mwezi inakata baada ya Miaka 12 au 15.wakati inalipwa hadi mstaafu afariki
 
acha kuwinda pension ya baba yako kiazi. unaonyesha una uchungu nayo. serikali yako ya ukimani imeshakuamulia mwisho miaka 15 😂.
Miaka hiyo 15 ni kadirio la wastani wa miaka atakayoishi mstaafu baada ya kuondoka kwenye ajira.

KWA TAFSIRI NYEPESI KABISA IKO HIVI;
Miaka hiyo imekadiriwa kwa kuangalia takwimu za wastani wa maisha/umri wa mtanzania. Wengi hawatoboi 75yrs nna wachache wanafika, wachache sana wanavuka.
Kwa hali hiyo, wale wanaokufa kabla hawajafika huwa pesa yao inabaki kwenye mfuko, wale wanaopita huo umri wanaendelea kulipwa kupitia pesa zilizoachwa na wenzao.

Ukitaka maelezo ya kina, fika kwenye ofisi yoyote ya hii mifuko ya jamii upate elimu kuhusiana na hilo.
 
Tuambieni kinagaubaga,mstaafu analipwa hadi kifo au ni kwa muda wa miaka 15 tu,the rest anajitegemea?
Kwa Sheria mpya ya kikokotoo ni MIAKA 12 na miezi 6. Mstaafu mtarajiwa wa mwezi march.
 
Kaulize wastaafu na viongozi WA mifuko ya pension kisha njoo hapa

Huo ndio ushahidi wangu
Kunituma kuuliza siyo ushahidi,kwa sababu nikimaliza kuuliza uhenda sitaleta majibu,weka hapa majibu,
Alafu nyie wafanyakazi wa mifuko ya hifadhi ya jamii mlivyo na nyodo utadhani kamwe ninyi hamtakaa msitaafu.
 
Back
Top Bottom