Waliokuwa wanachama wa CHADEMA na kisha kuhamia CCM Esther Bulaya na Esther ni miongoni mwa wagombea Ubunge kwenye mchujo wa kwanza Kupitia Chama cha Mapinduzi baada ya kutangazwa leo na CPA Amos Makalla Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo Chama cha Mapinduzi
Esther Matiko ni miongoni mwa wagombea saba wa CCM Tarime Mjini, huku Esther Bulaya akiwa miongoni mwa wagombea watano Bunda Mjini akichuana na Kijana wa Wasira, Kambarage Wasira
Esther Matiko ni miongoni mwa wagombea saba wa CCM Tarime Mjini, huku Esther Bulaya akiwa miongoni mwa wagombea watano Bunda Mjini akichuana na Kijana wa Wasira, Kambarage Wasira