Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mbunge wa Viti Maalum Esther Bulaya akizungumza siku ya Jumatatu Februari 24, 2025 kupitia kipindi cha Power Breakfast cha kituo cha habari cha Clouds FM.
"Uchaguzi ni demokrasia, kachukua fomu Tundu Lissu (Mwenyekiti wa CHADEMA taifa), kachukua fomu Freeman Mbowe (Aliyekuwa Mwenyekiti CHADEMA taifa) na chama chetu sisi lazima kiakisi jina lake la demokrasia, huwezi kumzuia yeyote asigombee, yaani unamzuia vipi mtu asigombee? Mbowe kama watu walikuwa wanamtaka kwanini asigombee, na ndiyo demokrasia, ndiyo wameenda kwenye uchaguzi wameshindana na sasa hivi hawajamchagua, hiyo ndiyo demokrasia. Mimi nilikuwa ninashangaa watu wanavyosema Mbowe anang'anga'nia lakini walikuwa wanamchagua, na wanaomchagua miongoni mwao ni hao ambao hawajamchagua sasa hivi"