Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Siasa inalipa, given a chance lazima tutazichoma moto mali zote zilizopatikana kwa njia za ufisadi.Kufuatia kukua kwa sekta ya Anga. Kampuni ya usafirishaji ya Esther Luxury inatarajia kuanzisha safari za ndege kutoka Julius Nyerere International airport (DAR) kuelekea Dodoma, Mwanza, Kilimanjaro, Zanzibar, Mtwara, Nairobi na Johannesburg
AsanteInasemekana Kuna basi miambili mpya za kampuni ya ester zipo bandarini tayari kuanza kazi mikoa mbalimbali.Watanganyika tuchangamkie ajira hizo tele.
sure, zle ndege za taifa znaenda kugawanwa kwa ksingzio kapewa mwekezaji ambao ndiyo kna mwigulu, jk, rostam....daaah kwaheri ndege za watanganyika si za umma tena bali za bnafsi.RIP air tanzania
Yap kutoka uwaziri wa fedha hadi uwaziri mkuuKufuatia kukua kwa sekta ya Anga. Kampuni ya usafirishaji ya Esther Luxury inatarajia kuanzisha safari za ndege kwa kutumia ndege za ATR 72-600 (zipo 3) na Boeing 737 (zipo 2) na Boeing 787 (ipo 1) kutokea Julius Nyerere International airport (DAR) kuelekea Dodoma, Mwanza, Kilimanjaro, Zanzibar, Mtwara, Nairobi na Johannesburg.
Sitaki nataka, mnazichoma kumbe na ajira mnazitaka.Inasemekana Kuna basi miambili mpya za kampuni ya ester zipo bandarini tayari kuanza kazi mikoa mbalimbali.Watanganyika tuchangamkie ajira hizo tele.