Hahahaa.....basi tuite KIGAWO KIDOGO CHA SHIRIKA (KDS)Usilete utaalamu wako wa (Dividend) hapa. Gawio kwa mujibu wetu sisi, ni neno lolote linalosemwa hadharani kuonesha kwamba tumefanikiwa kuliko waliotutangulia.
Gawio si lazima iwe ni faida halisi hata pongezi tu ni gawio. Au unataka tugawane faida wakati haipo?
Nyie ndio maana huwa mnaitwa vibaraka wa mabeberu na wasaliti wa maslahi ya nchi yetu. Mnajifanya kuhooji kila kitu.
Ha! Ha! Ha! Ha!
Pokea gawio la kicheko changu.
Hawa Star Times juzikati walitoa Gawio kwa serikali....... sasa utasemaje wameripoti hasara?!Mbunge wa Tarime Mjini Mh Esther Nicholas Matiko ( Mb) aibua Ufisadi wa kutisha Kwenye Shirika la Utangazaji nchini ( TBC )
Kampuni ya Star Media Tanzania LTD
( Star Times & TBC ) kwa pamoja wameidanganya Serikali ya Tanzania kwamba hawajawahi kupata faida tangu kuanzishwa kwa kampuni hiyo mwaka 2009 takribani miaka 11 Sasa, Kila mwaka wao kwao ni wa hasara tu
Kwenye kampuni ya " Star Media Tanzania LTD " Serikali ya Tanzania kwa usimamizi wa TBC tunamiliki hisa 35% huku Star Times wao wakimiliki hisa 65% huku mtaji wao wakuanzia Ulikuwa US$ 238 Mil
Mwaka 2009 wakati Star Media Tanzania LTD inaanzishwa Sisi tulikuwa na Mtaji wa US$ 83.3Mil Sawa na tsh183bln wakati mradi mzima Ulikuwa na thamani/mtaji wa US$ 238Mil takribani Tsh 547Bln
FY2019/2020 hadi Desemba 2019 walishapata hasara ya US$ 3,743,803, takribani tsh 6.8bln
FY2017/2018 walipata hasara ya Tsh 19bln yaani kila mwaka wao ni hasara, hasara, hasara ila naamini nyote ninyi ni mashahidi Star Times inavyofanya kazi,
FY2013/2014 ilipata hasara ya US$ 8,005,236 Sawa na tsh 17bln hawa jamaa wao kila kitu kwao ni hasara tu,
Pamoja na kwamba hatujapata faida kwa miaka yote 11 hata Mtaji wetu wa US$ 83.3Mil Sawa tsh 183bln nazo wanasema hazipo kwani kampuni imefilisika,
Kwa sasa kampuni ya " Star Media Tanzania LTD "inamtaji (Negative equity) wa US$ 51.989 Sawa na takribani Tsh 119bln( Maana yake haina mtaji)
Pamoja na madudu yote lakini kila tukiwaita Kwenye Kamati yetu ya PAC hawatokei,
Je nani Yuko nyuma ya huu mchezo?
Je ni kweli CCM inapambana na Ufiasadi Tanzania ?
Je pamoja na hasara zote hizi kwanini Tanzania bado tunaendelea na Ubia na kampuni hii? Nini maana ya haya yote Vipi kuhusu mashirika mengine 58 ya Serikali nako hali ni hii hii?
HD Video Player All Formats - Apps on Google Play
Full HD Video mp3 Player, MP4 player play 1080p, File manager, Video Downloaderbit.ly
Mkuu hujaelewa vzr,huu ni mwaka Wa 11 hamna faida,nadhani umeelewa sasaAtuambie capital invested so fa was how much, shida yenu mkiona loss mnajipa moyo kwamba ni kosa. Biashara ni profit and loss. Kama TBC walifanya uwekezaji unategemea watapata faida ndani ya mwaka mmoja. Wabunge wetu mnashida mahala. TBC imefanya uwekezaji mkubwa sana ndani ya miaka minne ningeshangaa kama wangekuja na faida. Dividend ni sehemu ya gharama za uendeshaji.Someni sheria ya Treasure Registrar
Hawa Star Times juzikati walitoa Gawio kwa serikali....... sasa utasemaje wameripoti hasara?!
Kwaakili yangu ndogo naamini awamu ya Tano ndio awamu yenye Ufisadi kuliko awamu zote zilizopita trust me,
Shetani mbariki MatikoMungu mbariki Matiko