Mbekenga
JF-Expert Member
- Jun 14, 2010
- 3,262
- 8,144
Hahahaa.....basi tuite KIGAWO KIDOGO CHA SHIRIKA (KDS)Usilete utaalamu wako wa (Dividend) hapa. Gawio kwa mujibu wetu sisi, ni neno lolote linalosemwa hadharani kuonesha kwamba tumefanikiwa kuliko waliotutangulia.
Gawio si lazima iwe ni faida halisi hata pongezi tu ni gawio. Au unataka tugawane faida wakati haipo?
Nyie ndio maana huwa mnaitwa vibaraka wa mabeberu na wasaliti wa maslahi ya nchi yetu. Mnajifanya kuhooji kila kitu.
Ha! Ha! Ha! Ha!
Pokea gawio la kicheko changu.